Vicent daudi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2012
- 354
- 80
Nauza nokia lumia 520 bei 220k iko kwenye hali nzuri sana
Niko dsm 0766430471
Niko dsm 0766430471
Simu makini sana hii. Bei mwisho ngapi mkuu? WP ndio chaguo la pili after iOS.
unaonaje tukibadilishana na lumia 510?
Nina kilo hata kesho nahitaji kama ukihafiki ni PM.
weka picha tuione simu acha porojo..........
rangi gani?