Till ya tigopesa

Till ya tigopesa

mputika

Senior Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
163
Reaction score
18
Nahitaji till ya tigopesa iwe ya dar,nipo dar iwe na nyaraka zote ili tukabadilishe majina mwenye nayo anipe pm namba yake tufanye biashara.
 
Nahitaji till ya tigopesa iwe ya dar,nipo dar iwe na nyaraka zote ili tukabadilishe majina mwenye nayo anipe pm namba yake tufanye biashara.

Mara nyingi nyie munaohitaji hizi till mnakuwa wababaishaji, mkitajiwa bei mnaleta utani na dharau ilihali mkijua fika upatikanaji wake Ni washida, wengine mnatoa masharti kama waganga WA kienyeji, na PIA mpo baadhi yenu mnafikia hadi kumsumbua mtu mnapatana bei mtu akikuletea hampokei simu, yaani mmekaa kiubabaishaji, ILA kama upo serious hope utapata, mimi za kwangu siku hizi ninawetaja maalum ikitoka Tu inakuwa imeshachukuliwa, take care.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom