Mkuu saa hizi banyamulenge wakiona hili tangazo udnda unawatokaHili ni shamba lenye rutuba na lenye jumla ya ekari 128.
Bei kwa ekari moja ni shilingi 600,000 (Laki sita kwa eka moja)
Lipo umbali wa kilometea 5 tu kutoka Chalinze mjini,
Mwendo wa kama dakika 10-15 kwa gari kutokea chalinze mjini.
Anahitajika mnunuzi wa shamba zima.
Kwa mawasiliano: dalalitz@yahoo.com au 0714591548
Duh mkuu hapo kwenye kununua shamba zima ndipo pagumu..
Vipi huwezi kunikatia kipande kulingana na pesa yangu