Magari toka japan

Magari toka japan

nicholas john

Member
Joined
Jun 13, 2012
Posts
27
Reaction score
0
Za saa hizi wana jf,Kwa jina naitwa Nicholas kama inavyoonekana kwenye profile name yangu,mimi ni mfanyabiashara na mwanafunzi wa ifm mwaka wa mwisho katika fani ya sayansi ya computer. Kibiashara najishughulisha na uagizaji wa magari kutoka Japan na ndio lengo la kutuma post hii ili kuweza kukutana na wateja wangu pia.Nachofanya ni kwamba tunakubaliana na mteja kuhusu gari anayohitaji kisha naingia kwenye website na kulitafuta gari hilo kwa price ambayo mteja ametaka na specification zingine,baada ya hapo kuhusu kuagiza na mengineyo ananiachia mimi na baada ya kama mwezi mmoja hilo gari litakuwa limefika na mteja atakuwa akijulishwa kwa maendeleo yote ya ununuzi wa gari hadi kufika kwake hapa.Malipo kwangu kutokana na kumuagizia mteja gari hadi kumkabidhi ni shilingi laki mbili.Kwa yeyote anayehitaji kufahamu zaidi au kuagiziwa gari please asisite kunipm au awasiliane nami kupitia namba 0719974886.Mimi napatikana Kigamboni Dar es salaam,Asanteni.
Nimekuwa nikipigiwa simu na kuulizwa suala la usalama wa hela na uhakika wa jambo lenyewe,ningependa kuwajulisha kuwa kabla hujatoa hela yako ni lazima tuonane na nikupeleke kwenye ofisi ya mwanasheria aliyesajiliwa iliyopo posta ambapo hapo utaelezwa process zote kisha utaamua mwenyewe uingie mkataba nami ili nikuagizie gari kwa dhamana ya ofisi hiyo na nimefanya hivyo makusudi ili kuweka usalama baina yangu na mteja wangu .Magari yanapatikana tena kwa bei rahisi na unaweza kuokoa shilingi milioni 2 hadi tano kwa kuagiza kuliko kununua kwenye yard,kwa kuthibitisha hilo ulizia bei ya gari utakalo kwenye yard kisha nitumie msg kwa namba yangu hapo juu au nipigie simu nikujulishe naweza kukuletea hilo gari kwa shilingi ngapi.
 
Kwani kuagiza gari siku hizi mpaka kupitia kwa mtu? kama ni hivyo kazi ipo. Mbona hata wasiosoma siku hizi wanagiza magari ni rahisi mno, labda ungenambia kufanya clearance, we ndugu yangu acha hizo waonyeshe hao wateja wako waagize wenyewe bana usiwachaji 10% kwa kazi rahisi kiasi hicho just be a Tanzanian don't use their ignorance to make profit.
 
yaaani mwenyewe umefunguuka hata haya huna.et nakupeleka kwa mwanasheria kwan mwanasheri ndo nini wewe mwenyewe dent tu tena siajabu unalipiwa na bod ya mikopo una dhamana gani wewe mpaka mtu akupe boom yake wewe kama sio mwisho was iku mtu aishie kukutia vitasa tu,maana huna uwezo wa kurudisha dola hata elf 1.achana na hizo soma wewe usije kudisco bure.
 
Kwani kuagiza gari siku hizi mpaka kupitia kwa mtu? kama ni hivyo kazi ipo. Mbona hata wasiosoma siku hizi wanagiza magari ni rahisi mno, labda ungenambia kufanya clearance, we ndugu yangu acha hizo waonyeshe hao wateja wako waagize wenyewe bana usiwachaji 10% kwa kazi rahisi kiasi hicho just be a Tanzanian don't use their ignorance to make profit.

Acheni hizo nyinyi kwani mtu analazimishwa si ni kwa hiyari yake mwenyewe na watu wengi hawajui utaratibu wa kuagiza magari ndio maana wananunua kwa watu magari yaliyotumika au yard,huyu ni mjasiriamali kama walivyo wengine na ni kweli kuagiza gari nje inasevu pesa nyingi sana.
 
Back
Top Bottom