Pikipiki Bajaj Boxer BM 150 Inauzwa

Pikipiki Bajaj Boxer BM 150 Inauzwa

Makbel

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
774
Reaction score
167
Pikipiki tajwa hapo juu ambayo imetumika miezi 3 tu tokea inunuliwe dukani na hajawai kupata ajali inauzwa.
Bei ni. 1,750,000
Ipo Dar es salaam.
Mawasiliano kwa atakayehitaji:
0717577755 / 0787577755
 
Picha hizi hapa!
 

Attachments

  • IMG_20131021_140531.jpg
    IMG_20131021_140531.jpg
    386.1 KB · Views: 407
  • IMG_20131021_140516.jpg
    IMG_20131021_140516.jpg
    396.1 KB · Views: 345
  • IMG_20131021_140433.jpg
    IMG_20131021_140433.jpg
    413.5 KB · Views: 386
dukan ni mil 2.1 je umetumia njia gani ya kucaluculate depreceation? au hiyo bei twaweza kufanya negotiation?
 
dukan ni mil 2.1 je umetumia njia gani ya kucaluculate depreceation? au hiyo bei twaweza kufanya negotiation?

Inauzwa kwa sababu ya shida binafsi na ndiyo maana nikawa na hiyo punguzo. Bei ya mwisho ni 1,700,000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom