Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

wakuu nimetafuta ol most maduka yote ya vifaa vya computer head phone zinaitwa ucom please if any one anajua wapi naweza kupata anijulishe tafadhari
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Habari, Ninauza simu, blackberry bold 9700, nyeusi kwa shilingi za kitanzania laki mbili (200,000). Ninapatikana dar. Mawasiliano 0786-305664. Karibuni.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
nauza bb bold 9000 bei tshs.100,000 tu.no yangu 0659626782 nipo dar
0 Reactions
2 Replies
786 Views
Habari wanajamvi; Guys naomba mnisaidie wapi ninaweza kununua STICKERS kwa ajili ya kubandika nyuma ya screen ya laptop yangu. Naombeni msaada wandugu!
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Za saa hizi wana jf,Kwa jina naitwa Nicholas kama inavyoonekana kwenye profile name yangu,mimi ni mfanyabiashara na mwanafunzi wa ifm mwaka wa mwisho katika fani ya sayansi ya computer. Kibiashara...
0 Reactions
1 Replies
911 Views
Natafuta lain ya airtelmoy ya uwakala
0 Reactions
3 Replies
950 Views
natafuta noah budget 5m. Contact: 0685925153
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wana-JF, Natafuta pumps ndogo za maji zinazotumia umeme wa DC. Nataka kutumia pump hizo kwenye systems za aquaponics kwenye miradi ya ufugaji samaki na kilimo cha mboga. Naomba anayefahamu wapi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
habari wakuuu naomba mwenye laptop aniuzie kwa bei ya laki 4. Nahitaji brand zifuatazo dell,hp,compaq,hp au toshiba. Iwe na sifa hizi processor walau 1.8 ghz dual core or higher, 2gb ram or...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
tumeboresha, kwenye blog yetu sasa tumeamua kusaidia jamii hasa wanafunzi na watu wengine kupata material ya sheria bure. ukiingia hapo kwenye downloads utapata vingi. tunaviweka kila siku na...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Naitwa Kevin nipo Dar. Nauza Samsung Galaxy star GT S5282. IPO kwenye halo nzuri nmeinunua kama mwezi tu umepita. Ina kila kit name box lake bei: 160,000/= Tshs maelewano yapo. Kwa walio serious...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimechoka na upuuzi ninaofanyiwa na mama mwenye nyumba. Mimi ni mwanaume, sijaoa. Nahitaji vyumba viwili, chumba na sebule. Ikipatikana self contained itakuwa bora zaidi. Yaani hapa umeme...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wadaua, mwenye taarifa au mwenye namba ya dalali wa hapo tegeta tafadhali anisaidie,,nahitaji nyumba ya kupanga asanteni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenye Utalaam na Ujuzi wa kutosha wa ku-design cover za vitabu na pia kufanya editing ya kitabu na kukiandaa tayari kwa printing tuwasiliane. Ani-pm na kunipa namba yake ya simu ili tuwasiliane...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hello great thinkers, Ninatafuta gari hyo, mwaka wowote ule but iwe katika hali nzuri. Budget yangu ni 18M-20M. Picha ni muhimu. Mwenye nayo/mwenye taarifa za wapi ipo ani-pm. Natanguliza...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Msaada Kwa anayejua zinapouzwa simu tajwa hapo juu kwa arusha anijushe Pamoja na bei yake.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Za saa hizi wana jf,Kwa jina naitwa Nicholas kama inavyoonekana kwenye profile name yangu,mimi ni mfanyabiashara na mwanafunzi wa ifm mwaka wa mwisho katika fani ya sayansi ya computer. Kibiashara...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Iwe na vyumba vinne vya kulala. Inahitajika haraka. Kama unayo tuwasiliane kupitia namba hii ya simu 0755312233.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Get Logo,Banner, Letter head,proforma invoice ,delivery note,Tax invoice, and many more different designs for only Tshs 20,000/= per each in a bundle of 10 up to 20 artworks, your most welcome...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Nina mteja ana cash money tayari anahitaji nyumba ya kununua Mbezi Beach. Kama unayo wewe binafsi, au jamaa yako, au rafiki yako n.k tuwasiliane katika namba hii: 0755312233.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom