Habari wakuu..
Ninaimani mpo njema mkiimalizia weekend.Ningependa kuchukua muda huu kushare a.b.c juu ya mfumo wa kisasa wa masoko wa digital marketing.Mfumo ambao unaaminika kila mfanyabiashara...
Habari!
Mimi ni kijana mjasiriamali wa kitanzania, ninajishughulisha na uuzaji wa dagaa kwa ajili ya kutengenezea chakula cha kuku/mifugo, hivyo natafuta mteja/wateja wa dagaa hao.
Dagaa hao...
Wakuu natumai mko njema kabisa.
Kwa wakazi wa Dar es salaam nawasogezea huduma hii adhimu kabisa. Natoa huduma ya kuuza maziwa ya ng'ombe halisi kabisa, ni maziwa ya ng'ombe OG. Namanisha kuwa ni...
Habari waungwani, wafanyabiashara wa viatu,ninampango wa kuanza kufanya biashara ya simple shoes za kike Kwa anayeweza kunipa diteliz za uhakika namkaribisha Wasapu 0673817130 tufanye biashara pamoja
Mfukoni (actually ni kwenye account ya TigoPesa) nina milioni tano taslimu.
Natafuta kiwanja upande wa kuanzia Ubungo kwenda Goba, Salasala, Tegeta, Madale, hadi Bunju.
Lakin pia Ubungo kwenda...
NYUMBA ionekanayo pichani inaizwa TSH 15,000,000 (milioni kumi na tano) mazungumo Yapo
-vyumba 2 vya kulala kimoja máster
-Sebule
-jiko
-publick toilet
NYUMBA ipo Mbagala Dar es Salaam maji...
J & J Power Professionals ni wataalam wa umeme ambao wanatoa huduma kwenye majengo ya Serikali na watu binafsi
Tunahusika na:
-Wiring ( domestic na industrial) installations
- Umeme jua (Solar...
Ninafanya utafiti wa bei ya Ardhi dodoma kwa ujumla wake viwanja ukubwa kati ya square meter 600-1500
Mahitaji eneo la Ilazo na maeneo ya Jirani
kiwanja kilichopimwa na pia skwata iliyo rasimishwa...
AirTags zilitangazwa katika hafla ya uzinduzi wa Apple mnamo tarehe 20 Aprili 2021. Zitatolewa tarehe 30 Aprili, lakini unaweza kuagiza mapema wakati huo sasa. Maagizo ya mapema yalianza tarehe 23...
Je Umekuwa ukitafuta web Hosting ya Gharama nafuu na Umekosa, hapa ndo penyew pata web Hosting Bora na Nzur kwa Kazi zako sasa, niko na Offer hapa
Plan 1
2 - 4 GB RAM and 2 CPU CORE
Linux...
KITABU CHA KUPUNGUZA GHARAMA ZA UFUGAJI KIMEPEWA ISBN 978-9912-41-699-4 ( MAKTABA YA TAIFA )
Furaha yangu ni kuambiwa kwamba uandishi wangu ni Tiba, Uokozi na Ujenzi wa Taifa, nimepata furaha...
Last Friday nimepata uzoefu kidogo wa soko la nguo za wadada Ilala japo wanunuzi wenzangu na wauzaji walijua kabisa mimi ni mgeni pale. Nilinunua magauni matatu kwa wale wanaonadi kila gauni kwa...
JIKO LA MKOPO. 40700/=
Okoa gharama ya gesi na mkaa. Ivisha maharage Kwa Tsh 350 tu.
Umeme kidogo , okoa muda jikoni
Tutafute kwa namba
Whatsap. 0620135671
Call and sms 0620135671
Nimekwenda sehemu za mkoa wa pwani bush kabisa nimekuta vijana wa bodaboda wananunua petroli ya.kulima kwa chupa.
Nomeshawishika niwajengee angalau kituo simple cha petrol.
Swali kituo simple...
habar ndug wafugaj wenzang, polen na changamoto za maisha ya ufugaj, kama mada inavyojieleza hapo juu kwa wakazi wa handeni-tanga naomba kwa anaetoa huduma ya kutotoresha mayai aina zote bac...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.