Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Hivi water pump generators,,,brand name gani ni imara kwa shughuli za umwagiliaji?..ushauri unahitajika,,ikiwezekana ata bei nifahamishwe..Asanteni kwa wasaa wenu
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu. Tafadhari rejea kichwa cha mada. Ninauza pikipiki yangu niliyokua natumia kwenda kazini yenye usajiri namba DEC bei Tsh 1,250,000 iko katika hali nzuri sana haijaguswa engine kabisa...
8 Reactions
9 Replies
1K Views
Harrier new model,Haina dosari Wala kipengele chochote Reg no DL,full Ac ,ni mpya nzuri ndani na nje safi. Ipo Dar Bei ni 18.5m tu Piga/ Whatsapp 0698235368
0 Reactions
3 Replies
644 Views
Habari wadau wangu natafuta chumba cha kupanga kiwe maeneo ya morroco, victoria au makumbusho au kigamboni kiwe kimoja, chenye hali nzuri sio bora chumba nataka kupanga kwa miezi 6 tu na si zaidi...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
OFFER PRICE:1,900,000 POOL TABLE SET COMPLETE GOOD QUALITY ORIGINAL PITCH TRIANGLE TOKEN BALLS BILLIADS CUES POOL CUES STICK
0 Reactions
3 Replies
655 Views
TUNAUZA TAA ZA JOTO ZA KULELEA VIFARANGA. (HEAT INFRARED LIGHT BULB) >>SIFA YA TAA ZETU<<<< ●Hutoa mwanga mwekundu ambao husaidia kupunguza stress kwa vifaranga na kufanya ale vizuri. ●Taa moja...
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Wadau nina mzigo wa makaratasi yaliyotumika ikiwa ni pamoja na magazeti na majarida na vitabu kukuu. Kwa mwenye kununua au anaefahamu wapi naweza kuyauza msaada tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
565 Views
Ninauza furniture za ofisini, Meza 3 yaani Executive desk 1, Conference table 1 (ya watu 4), na reception table 1, Viti 7, vyote hivi bado viko katika hali nzuri. Pia kuna Curtain blinds mbili...
0 Reactions
2 Replies
594 Views
Nauza Carton boxes kwa ajili ya kuweka bidhaa mbalimbali, ziko pcs zaidi ya 400 nicheki kwa namba 0744117116
1 Reactions
0 Replies
282 Views
Habari ndugu zangu. Nadhani kila mmoja wetu yupo hai kwa anae soma hapa. Kama kawaida mr .waziri nazidi kuwarahisishia wateja wangu kupata mzigo wa dagaa kutoka ziwa victoria kwa wale waliopo...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
M-Gas ni kampuni inayoungwa mkono kimataifa. Tuna bohari zetu, mitungi ya gesi na magari ili kukuhakikishia kuwa unapata gesi (LPG)bora ya kupikia na huduma bora zaidi wakati wote. M-Gas inatumia...
9 Reactions
90 Replies
12K Views
Wanajamvi natumai mko salama.kama nilivyodokeza hapo juu. Nahitaji mtu wa saloon,awe wa kike au wa kiume,kikubwa awe anajua kazi zote za saloon kama Kuosha wateja Kuweka Dawa Kusuka Misuko Tofauti...
3 Reactions
6 Replies
944 Views
Tv ipo dar es salaam location za mansese, tv ni mpya kabisa lakini imekufa kioo tu. Kwa iyo nauza hivyo hivyo ilivyo. Naposema nauza tv iliyokufa kioo sio wote watanielewa! Taarifa hii inawahusu...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wanajami, narudi tena. Bei ya dagaa imepungua maana giza limeanza na uvuvi kuendelea kama ilivyo kawaida. Bei zilizopo muda huu. Japo huwa mabadiliko yapo kutokana na uvuvi ukiwa mzuri au...
5 Reactions
35 Replies
6K Views
Habari ndugu? Nina mchele Kigoma Malagarasi(Musoma) nahitaji namba za dereva muaminifu anibebee kuja Morogoro. Zipo gunia 8 za kilo 100. Karibu Pm. NITALIPIA
1 Reactions
6 Replies
484 Views
Nipo mtoni kijichi mtaa wa mgeni nani Nina shida na gari la maji taka
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Biashara..ofa ofa ofa...miliki studio yako ya kurekodi muziki kwa tsh laki 2 tu....vifaa hivi 》》mic,sound card,filter,stand piga simu...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna kabiashara kangu hapa DSM, nimeleta mfanyakazi toka mkoani, nahitaji kumpangishia chumba kimoja self, 1. Chumba 1 self maeneo ya Kawe, mwenge, msasani, au popote nitachagua nikipapenda...
2 Reactions
10 Replies
840 Views
Wakuu, naomba kwa mwenye connection ya wamiliki au wafanyakazi katika maduka ya Jumla ya Mtaa wa Liberty au popote jijini Mwanza anisaidie. Lengo kuu nataka kufanya nao mawasiliano wanipe...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta connection ya wateja wa bata bukini, bata mzinga, kuku na kanga wa aina yoyote kwa jumla mwenye kujua soko au mahotelin anipe direction tufanye biashara pacent yake itakuwepo Wana jamii...
2 Reactions
4 Replies
776 Views
Back
Top Bottom