Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,759
Hello GT , nahitaji IT wa kunitengenezea website ndogo ,
Awe ARUSHA na bei iwe rafiki ,
Asante sana ,
Awe ARUSHA na bei iwe rafiki ,
Asante sana ,
Ndio Kenge ,Kwanini awe Arusha unataka kuonana nae physically? Kila la heri
Basi sawa wengine hatupo Arachuga ila ni web dev wazuri tuNdio Kenge ,
Habari boss, karibu ofisini kesho Salim Ally , Floor ya nne. Jirani na St. thomas Hospital.Hello GT , nahitaji IT wa kunitengenezea website ndogo ,
Awe ARUSHA na bei iwe rafiki ,
Asante sana ,
website unatengeneza kwa bei gani?Basi sawa wengine hatupo Arachuga ila ni web dev wazuri tu
Inategemeana na Page na content..kwa page nne 100k-200k yani 50$ to 100$website unatengeneza kwa bei gani?
OK, nitakucheck inboxInategemeana na Page na content..kwa page nne 100k-200k yani 50$ to 100$