Kitabu cha kupunguza gharama za ufugaji

Nov 6, 2016
51
141
KITABU CHA KUPUNGUZA GHARAMA ZA UFUGAJI KIMEPEWA ISBN 978-9912-41-699-4 ( MAKTABA YA TAIFA )

Furaha yangu ni kuambiwa kwamba uandishi wangu ni Tiba, Uokozi na Ujenzi wa Taifa, nimepata furaha isiyo kifani mpaka kwenye mtima, nikibubujikwa na utamu kama nini, utamu bojo bojo, Comrade Ally Maftah mie nimeingiza tena kitabu katika maktaba ya Taifa, ni kwanini nasema Dr Samia Suluhu Hasani apewe maua yake, nitaeleza siku za usoni mchango wake katika uandishi wangu, kila nikitazama paji la uso wake napata amani kubwa sana moyoni nikiamini nipo katika nchi salama.

NINA MENGI YA KUNENA, JAPO NASHIKWA NA KITETE KWA FURAHA NASHINDWA LA KUSEMA NAISHIA KUSEMA

#Dr Samia Suluhu Hasan Mitano Tena na Tena
# Tanzania ni nchi Tamu sana.
#Upendo ni Kinga na Dawa Kuu.
# Nawapenda Sana Wazalendo, Nawapenda Wana CCM.

SHUKRAN KWA-:
1.Abbas Mtemvu - Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam.
2. Simba Gadafi - Mjumbe Halmashauri kuu Taifa.
3. Iddy Muhaji Mvano - Katibu wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam.
4. Profil Masawe ( Mr UK ) - Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Kinondoni.

5. WATUMISHI WA MAKTABA YA TAIFA - DSM
Irean Mush, Lilian Darota, Mchomvu, Veronika, Baraka, Mwanaisha Mbenela.*

Ndimi
Comrade Ally Maftah
  • Mjumbe Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam
  • Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam
  • Mwandishi wa Mashairi, Mwimbaji na Mdau wa BASATA
  • Mwandishi wa Vitabu, Makala na Riwaya
  • Mkufunzi wa Ujasiliamali
    IMG-20240130-WA0019.jpg
 
Hao wote umewataja ndio watanunua au sijui kusoma kitabu chako!!!?

Promo ya kitabu mbona hujawwka hata kidunchu?
KITABU CHA KUPUNGUZA GHARAMA ZA UFUGAJI KIMEPEWA ISBN 978-9912-41-699-4 ( MAKTABA YA TAIFA )

Furaha yangu ni kuambiwa kwamba uandishi wangu ni Tiba, Uokozi na Ujenzi wa Taifa, nimepata furaha isiyo kifani mpaka kwenye mtima, nikibubujikwa na utamu kama nini, utamu bojo bojo, Comrade Ally Maftah mie nimeingiza tena kitabu katika maktaba ya Taifa, ni kwanini nasema Dr Samia Suluhu Hasani apewe maua yake, nitaeleza siku za usoni mchango wake katika uandishi wangu, kila nikitazama paji la uso wake napata amani kubwa sana moyoni nikiamini nipo katika nchi salama.

NINA MENGI YA KUNENA, JAPO NASHIKWA NA KITETE KWA FURAHA NASHINDWA LA KUSEMA NAISHIA KUSEMA

#Dr Samia Suluhu Hasan Mitano Tena na Tena
# Tanzania ni nchi Tamu sana.
#Upendo ni Kinga na Dawa Kuu.
# Nawapenda Sana Wazalendo, Nawapenda Wana CCM.

SHUKRAN KWA-:
1.Abbas Mtemvu - Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam.

2. Simba Gadafi - Mjumbe Halmashauri kuu Taifa.
3. Iddy Muhaji Mvano - Katibu wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam.
4. Profil Masawe ( Mr UK ) - Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Kinondoni.

5. WATUMISHI WA MAKTABA YA TAIFA - DSM
Irean Mush, Lilian Darota, Mchomvu, Veronika, Baraka, Mwanaisha Mbenela.*

Ndimi
Comrade Ally Maftah
  • Mjumbe Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam
  • Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam
  • Mwandishi wa Mashairi, Mwimbaji na Mdau wa BASATA
  • Mwandishi wa Vitabu, Makala na Riwaya
  • Mkufunzi wa UjasiliamaliView attachment 2887892
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom