Walio dukani au wenye connection naombeni maelekezo Duka linalokopesh PC.
Napenda kujua utaratbu wake. Au mwenye kuweza kuniwekea udhamini.
Na vigezo vyote vya kujidhamini pia kwa wale...
Rafiki yangu mpendwa,
Ukiniuliza ni kitu gani ambacho mtu yeyote akikifanya anaweza kubadili kabisa maisha yake na yakawa bora, sitafikiria mara mbili.
Nitakujibu mara moja kwamba ni USOMAJI WA...
kwa wanaoitaji dipstick za urine nipigie kwa namba 0778422150 nipo zanzibar kijichi bei ni sh.16000 pia machine ya FBP three parts kwa Milion 6 ipo kwa anaeitaji
Habari wanaJF,
Ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya. Nina binti yangu anahitaji kazi yoyote ile. Iwe ya kufanya usafi, hata kuuza duka. Ni binti ambaye yuko sharp sana. Yupo vizuri katika...
Ina vyumba 2 vikubwa self,
Ina maji ndani
Umeme
-Ukuta
-Eneo kubwa ndani ya uzio -unaweza kuweka bustani ya mboga,
-NYumba ni mpya kabisa.
-Eneo iliko ni nyuma ya RC/Shule ya msingi Ngaramtoni...
Habari gani wana jamvi wote humu.
Nimekuwa nikiulizwa juu ya Teknolojia hizi za kiulinzi katika maeneo yetu ya biashara na makazi. Nimekuja Jamvini kama ilivyokawaida ya Jamvi letu moja ya sifa...
Habari wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kupata fundi wa fanicha za ndani na awe na utundu wa ubunifu wa vitu mbalimbali vya ndani (fanicha).
Ofisi inauza vitu used pamoja na...
Ndugu wadau wafugaji tunauza ng'ombe bora wa maziwa aina mbalimbali wenye uwezo wa kutoa maziwa hadi lita 30 kwa siku.
Ipo Mitamba yenye mimba na isio na mimba aina zote
Wapo ndama bora Aina zote...
Karibuni wateja tunauza viwanja na heka kwa bei nzuri.
Maeneo nimeshayataja hapo juu.
Nimazuri kwa ujenzi na shughuli zingine . Kwa kiteto kuna heka 10 zilizoshikana kila moja inauzwa laki...
Habari JamiiForums members.
Nyumba inauzwa na benki kwa njia ya mnada. -- Nyumba ipo Mbezi, Msingwa
--Nyumba ina kiwanja chenye ukubwa wa 520sq/m-- Nyumba ina vyumba vitatu, kimoja master...
Tunaviwanja kikatiti .
Bei zake kuna heka 2 wanauza ml 37 mazungumzo yapo, km 1.5 kufikia hapo kwenye heka,
Heka moja ml 16 ipo km 1 .
Kwa mawasiliano zaidi kuhusu viwanja simu namba 0699-22-79-42...
Kiwanja kipo kibaha kwa Mathias kidenge.vipo viwili
Kila kimoja ukubwa squire meter 400.
Bei kwa kimoja milioni tatu.
Kwa vyote viwili milioni 5.
Km 5 kutoka morogoro road
Barabara nzuri ya...
Vibanda vya biashara kwa ajili ya kukodisha ni njia nzuri ya kutengeneza kipato endelevu kwa hapa Mbeya.
Maeneo ambayo hulipa zaidi ni karibu na vyuo kama Chuo Kikuu cha Mzumbe, Chuo Kikuu cha...
Nauza kiwanja kipo Mapinga Amani
Kipo upande wa Bahari karibu na Beach
Sqmter 1200
Huduma zote zipo, mtaa umejengwa vizuri,low density
Ni Km 1 kutoka Bagamoyo Road
Bei million 24
Maongezi yapo...
Lengo kuu la maandishi yangu, maisha yangu ya uandishi na makala zangu na vitabu vyangu ni kuwasaida watu nikiwemo mimi mwenyewe jinsi ya kutunza utajiri au kujenga utajiri kupitia ardhi na...
Mwaka wa kutengenezwa 1997
Aina ya Injini 4D35
Uwezo wa Injini 4,210cc
Uwezo wa gari Tani 2
Manual transmission
Umbali uliotembewa 149,000 km
ACCESSORIES
AC
Power Window
Power Steering
Bei Tshs...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.