Tunauza mayai ya kuku wa kienyeji kwa bei ya jumla 13000tsh kwa trey, order tunasambaza kuanzia trey 10 unaletewa hadi ulipo.
Kwa anaehitaji au mwenye kufahamu masoko yake tuwasiliane kupitia...
Habari wanajamvi naomba msaada wenu kwa leo jumapili ni wap naweza pata gari la kununua, kati ya haya, toyota allion, raum, carina, au gari lolote dogo ispokuwa sitak starlet, ist na vitz au...
MWAFAKA UMEPATIKANA
Tunamtambo wakuweza kuondoa chumvikwenye Maji katika Visima vyote mwenye kuitaji
Mtambo unaitwa R.O yan reverse of Smith inatoa Maji chumvi ya aina Yoyote
Utaratibu upo...
Pata NEW Tablet Pcs Kwa Bei ya Jumla na Rejareja
Usikubali kubaki nyuma nyuma kitechnologia na kiuchumi
Sasa waweza pata Tablet za inch 7 and 10 inch kwa bei Nafuu saana.
Mfano:
7 inch...
Wadau,
Nauza iphone 5 nyeusi bei 450,000/. napatikana Dar es salaam.
simu iko poa kabisa, nmeshindwa kuappload picha mtandao unasumbua.
Mwenye kuwa interested anichek 0713 806 766.
Wana JF napenda kuwatangazia kwa yeyote aliye mhitaji wa vitu vifuatavyo. ninanvyo na ninaviuza "on as is where is basis"
1. Vipande vya mbao pamoja na vipande vya mirunda . vimebaki na vingine...
Habari,
Naomba mnisaidie kwa hili mimi natumia bank ya CRDB kupata mshahara wangu mwezi wa 6 nilitumia ATM ya DTB kuchukua fedha zangu kwani ATM card yangu ya CRDB ni Visa cha kunishangaza...
Processor core 2 duo @2.53hz
Ram 4gb
Hdd 320gb
13inc LCD display
Graphics adapter Nvidia.
OS X 10.10.4 (yosemite)
Mag safe power adapter. (Charger)
PC is used but in mint condition and fully...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.