albertt
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 339
- 78
shuka za kigoma futi (6×6) zikiwa na forinya(2).zipo rangi na maua mbalimbali nauza shilingi 45,000 kwa shuka 1 kama upo serious nichek 0716385824
Mleta Mada kwanza nakushauri fanya yafuatayo.
-Tafuta Camera Nzuri ili upate picha kubwa na Nzuri.Na ukitaka picha nzuri piga ikiwa kwenye kitanda
-Pia umejibu mtu kwamba bei hiyo ni kwa pair,wakati sio kweli,bei hiyo ni kwa shuka moja yenye foronya mbili.
-Halafu umepost copy moja tu aina ya Mwiba,ila umesahau kuweka na aina ya Mjazo.
Hizi shuka ni imara sana,na zinadum muda mrefu na ni attractive saaana.
Ninazo nyingi sana niliwahi kununua nilipokuwa natokea Congo kupitia Kigoma.Na zinafumwa kwa mkono
Hembu jazia hizi hapa chini
View attachment 275930View attachment 275930View attachment 275930View attachment 275936View attachment 275937
Sasa ajazie kama hana hizo zako na mtu akitaka itakuwaje???
Atakuwanazo,mie hiyo Biashara niliifanya sana miaka ya 90,nilikuwa nachukua Kigoma naleta Zanzibar kwa njia ya Posta mfumo wa Cargo.
Wafanyabiasahara wanajuana,akikosa kwake huwa wanatafuta kwa mwenzie.Na kama hana kama hizo aniambie nimuelekeze wapi akaweke Order yake.Maana niliisha stafu kazi hiyo ila channels zote ninazo naweza kumsaidia kama ni mchanga wa Biashara hiyo.Ila mpaka kupost humu ni kwamba na yeye anafaham.
Sema tu hizo zake na Mjazo huo ni bei tofauti sana.Hizo zake ndio za bei rahisi ila hizo nimezomwambia ajazie bei yake shughuli pevu.
Biashara nzuri kama akijipanga,na akitafuta masoko mikoa mbalimbali
Mleta Mada kwanza nakushauri fanya yafuatayo.
-Tafuta Camera Nzuri ili upate picha kubwa na Nzuri.Na ukitaka picha nzuri piga ikiwa kwenye kitanda
-Pia umejibu mtu kwamba bei hiyo ni kwa pair,wakati sio kweli,bei hiyo ni kwa shuka moja yenye foronya mbili.
-Halafu umepost copy moja tu aina ya Mwiba,ila umesahau kuweka na aina ya Mjazo.
Hizi shuka ni imara sana,na zinadum muda mrefu na ni attractive saaana.
Ninazo nyingi sana niliwahi kununua nilipokuwa natokea Congo kupitia Kigoma.Na zinafumwa kwa mkono
Hembu jazia hizi hapa chini
View attachment 275930View attachment 275930View attachment 275930View attachment 275936View attachment 275937
Hahaha we nomaa sana hata me nnazo kweli kabisa unachosema
Hahahaha me moja nilipewaga kipindi nipo fom six mpaka leo ndo naimalizia fikilia nilienda chuo nkatumia nmemaliza nkatumia nkaingia kazini toka 2013 mpaka leo Yaan nazikubali sana
Zanzibar Spices mbona umetembea sana na huu uzi zaidi ya mwenyewe alieuanzisha?ama mnataka kutupiga cheusi-chekundu?
Hahaha,hapana wakuu.
We angalia numbeR ya mhusika,mie hata sijui anapotoka na anapokaa.
Ila nimechangia kwa kuwa mie niliifanya hii kwa miaka mingi,na hata hivyo siifanyi tena,nimeacha miaka ya 2004.
Na mie siwezi kuweka Copy Simple kama hizo zake.Namshukuru mungu sana biashara zangu huwa sikurupuki hata siku moja.
All my biashara zipo kwenye mtandao,hata vi Suzuki Carry vyangu na bodaboda mkuu,nina website zangu kwa biashara hiyo na nimesajili kampuni ya usafiri hata kama ninavyo vichache ili inipe moyo niweze kuongeza juhudi katika hilo namie niwe na mascania makubwa,naendelea kumuomba mungu.
Lengo ni kumpa Moyo mleta mada,kwanza Mie all my life nipo Zanzibar na mie huwa sijifichi kusema biashara zangu,maana is my life.Ila mleta mada aliileta kijuujuu saana ndio nikampa njia ya kuweza kuwa bora zaidi.
Muungwana anaweza kukunyima pesa ila hawezi kukunyima ujuzi wa biashara husika.