Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kiwanja kipo Mtaa wa Muungano, Kilomita 1 kutoka kituo cha daladala mivumoni (daladala Zinapogeuzia). Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 2000, Kiwanja kinakatwa kama ifuatavyo:-- 20Mita Kwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunauza bidhaa za gypsum(MAUA YA GYPSUM,MIKANDA NA ANGLE) kwa jumla na usafili bure BEI NZURI
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu, Ni muda sasa nimekuwa nikitafuta kiwanja cha kuanza maisha bila mafanikio. Ninahitaji kiwanja kilichopimwa chenye ukubwa usiopungua square metres 2500 yaani 50m kwa 50m. Bajeti...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa mita za eneo 1378 (Low Density) kipo Tanga mjini Masiwani shamba karibu na nursery school ya kisasa. Kimepimwa na kina hati (Title) iliyolipiwa. Eneo lina huduma ya maji na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sansan TV inchi 32 mpya nilipewa zawadi naiuza inaingia flash, HDMI, unaweza kuitumia kama monitor ya computer kwa 530k... Kama unataka nicheki apa 0718033066
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Habari, Nataka kufungua biashara ya kuuza saa, cheni, heren, bangili, lakini sijui sehemu ya kununua kwa jumla ili mimi niuze leja leja.. shukran kwa atakaye nisaidia.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Bajaji inauzwa aina ya TVS, Brand new, bado ina makaratasi. Ina plate number na road licence. Insurance haina, imetembea kutoka Go-down kufika kwenye makazi ya Mwenye nayo tu basi. Bei: Milioni 6...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello, We are professional trainers in office applications and many other professional and career enhancement areas. Our well organized tools and techniques are meant to shape your skills to...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Gari lenye hali nzuri japo sio jipya (used)...lenye 4WD kwaajili ya kuhimili barabara za vijijini linahitajika....gharama iwe reasonable...about 4mio to 5mio....mwenye nalo awe tayari mnunuzi...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Salaam wadau....nauza bata bukini jike na dume wa miezi 4 kwa laki 2 wote na Bata Mzinga dume wakubwa kabisa kwa elf 80 kila mmoja.Wako Morogoro Mjini. Contacts 0689900000.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Simu iko pouwa kabisa haina tatizo lolote.Ni ya touch, touch yake ipo pouwa kabisa,imetumika muda kidogo sana, mitandao ya kijamii ipo. wahi sasa bei sawa na bure simu bado mpya kabisa. NICHEK...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tunapokea order za kuprint/kuweka picha kwenye T-shirt au nguo kwa gharama nafuu sana.. Ukija na materials yako kwa maana tshirt na printing paper ikiwa tayari, tutakuprintia kazi yako kwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nahitaji simu tajwa hapo juu iwe haina tatizo lolote iwe haijatumika sana isiwe na mikwaruzo. Kama unayo nicheki
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Pikipiki ya kampuni ya bajaj boxer bm 150 inauzwa...ilikuwa inatumika kwa matumizi binafsi na si bodaboda...ni 1.5...ina miezi 8 tangu inunuliwe....1.6m... Aliye tayari ani cheki kwa whatsapp...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Avivacious bungalow with classic style, totallyspecial and unique that is ideal for someone having superb sense of taste in property. The house comprises 3 bedrooms one being stylish en-suite...
0 Reactions
1 Replies
739 Views
Nyumba hii imejengwa na kujengeka kwa vionjo vyote vya kisasa kabisa. Umbo lake la njena ndani, muundo wake, na uzuri wake wa kila mahali vinamfaa mtu mwenye ladhahalisi ya viwango vya ubora wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tunakodisha turubai za kisasa. Tuko maeneo ya mabibo lakini tutakufikia popote ulipo ndani ya Dar es Salaam. Bei: Tzs 40,000 kwa Siku kwa eneo lote la mabibo Tzs 50,000 kwa Siku kwa eneo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Bei mil 17…… .maelewano yapo….. Mawasiliano 0764047439.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shamba linauzwa Kimbiji kidàgaa liko karibu na ufukwe. 0773211553
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom