Natafuta gari la mkononi haraka, lisizidi mil 6

Natafuta gari la mkononi haraka, lisizidi mil 6

KAOROGOMA

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2015
Posts
529
Reaction score
904
Habari wanajamvi naomba msaada wenu kwa leo jumapili ni wap naweza pata gari la kununua, kati ya haya, toyota allion, raum, carina, au gari lolote dogo ispokuwa sitak starlet, ist na vitz au spacial muundo wa panya, linahitajika haraka au ni wap naweza enda nikapata, wasiliana nami 078826.
 
ipo Nissan sanny left hand ya 1992 morogoro. bei mil 3500,000/- piga 0754752652
 
Habari wanajamvi naomba msaada wenu kwa leo jumapili ni wap naweza pata gari la kununua, kati ya haya, toyota allion, raum, carina, au gari lolote dogo ispokuwa sitak starlet, ist na vitz au spacial muundo wa panya, linahitajika haraka au ni wap naweza enda nikapata, wasiliana nami 0788288406.
Ongeza iwe 7M nikupe subaru kama ok PM
 
Back
Top Bottom