Mauzo ya vitu

Mauzo ya vitu

aligawee

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
507
Reaction score
105
Wana JF napenda kuwatangazia kwa yeyote aliye mhitaji wa vitu vifuatavyo. ninanvyo na ninaviuza "on as is where is basis"
1. Vipande vya mbao pamoja na vipande vya mirunda . vimebaki na vingine kufumuliwa kutoka kwenye jamvi la orofa. mbao hizi na vipande vya mirunda vinajaza tipper ya tani 7 . Vinafaa kwa kuni au matumizi mengineyo
2. Kanda za bongo muvi title tofauti ziko takriban seti 220 au zaidi.
3. Mabomba ya chuma yaliyofukuliwa wakati wa ukarabati/ujenzi
Nitafurahi kuwasiliana na genuine buyers only. nipigie 065 925 8932

nawasilisha
 
Back
Top Bottom