Iphone 5 inauzwa bei chee

Iphone 5 inauzwa bei chee

yaser

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
1,361
Reaction score
299
Wadau,

Nauza iphone 5 nyeusi bei 450,000/. napatikana Dar es salaam.

simu iko poa kabisa, nmeshindwa kuappload picha mtandao unasumbua.

Mwenye kuwa interested anichek 0713 806 766.
 
Nakupa iphone 4, brand new huawei y330 na 100,000 vipi apo?
 
Wadau,

Nauza iphone 5 nyeusi bei 450,000/. napatikana Dar es salaam.

simu iko poa kabisa, nmeshindwa kuappload picha mtandao unasumbua.

Mwenye kuwa interested anichek 0713 806 766.

Hawajai lock kwenye i-cloud???? Ni mpya??????
 
Back
Top Bottom