WAHI FASTA>me nimelipia kwa bei ya LAKI1@MWEZI nimehamishwa kazi ghafla.
Tigo: 0655736765
RENT TZS 80,000/MONTH
Payment Terms: 6 Months in advance
Negotiable: No
Area: Mwanza
Directions...
Habari wakuu?
Huduma hizi sasa ni kwa bei poa, pungufu zaidi ya asilimia 100 kwa bei ya mhindi.
*Information Systems Development
*LAN Network Cabling
*Website Design & Hosting
*Graphics...
Habar wakuu,
Nahitaji fridge ya kawaida tu ya kutumia. Iwe ndogo, budget yangu ni 100,000/=Tshs. Mwenye kuuza kwa bei hiyo aweke contact zake, ama ani PM.
Niko Dar..
Brand new HTC one m8 for sale
Original,Boxed with full accessories
5.5 Inches Screen size
2.3 quad-core Processor
Dual 4.0 MP Back Camera (Ultrapixel technology ) and 5MP Front Camera
32GB...
Ni bar kubwa na ina live band usiku, ipo mwenge dar es Salaam opposite na TRA, huduma ni kuanzia asubuhi mpaka usiku, chai, supu, mchana uwe na uwezo wa kuhudumia chakula chochote cha mchana...
Brand new HTC one m7 for sale
Original, Boxed with full accessories
1.7 GHz quad-core processor
32GB Internal Storage and 2GB RAM
4.0MP Back Camera (ultra pixel technology ) and 2.1 MP Front...
Sasa unaweza ongeza usito wako bila kuaribu afya wala kuleta matatizo yoyote kiafya usisite lakini pia kuna virutubisho vingi pia ambavyo vinaweza kuboresha afya ya miili yetu. Health is the...
Tunahitaji majengo yanayofaa kwa chuo hapa DSM.Muhimu yawe ndani ya DSM,eneo tulivu lisilokuwa na kelele za watu au magari.Pia iwe rahisi wanafunzi kufika- liwe jirani na daladala zinapopita...
Wakuu,
Naomba kusaidiwa kwa hapa dar ni show room gani wanauza gari zilizo katika hali nzuri.
Pia shoo room ambazo hazichakachui kilometer za magari.
Msaada tafadhali
Wadau nina gari ya 2001 Volvo S60. Juzi kati ilipata hitilafu kwenye cooling System yake baada ya kuwa na leakage kwenye rejeta. Aliyokuwa anaendesha pia hakusoma alert ya temperature gauge sasa...
Tunauza mayai ya kuku wa kienyeji kwa bei ya jumla 13000tsh kwa trey, order tunasambaza kuanzia trey 10 unaletewa hadi ulipo.
Kwa anaehitaji au mwenye kufahamu masoko yake tuwasiliane kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.