Natafuta TECNO T 609

Natafuta TECNO T 609

abdulh iddy

Senior Member
Joined
May 28, 2015
Posts
159
Reaction score
6
Habar wana jf natafuta tecno zile nyembamba ya batani yenye camera ya mbele na nyuma na flashlight.Mwenye nayo anichek
 
Asilimia kubwa ya tecno ni nyembamba na asilimia kubwa ya tecno zina kamera mbele na nyuma na simu zote za tecno hata za touch zina batan nata ya kuwashia na kuongezea sauti na karibu simu zote zina flash na kama haina basi ina kitochi taja model acha u.... wako
 
Tecno tajwa hapo juu inaitajika mwenye kuwa nayo anicheki iwe katika hali nzur.Vigezo front and back camera usisahau flashlight.
Karibuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom