Blackberry,iphone,samsung zinauzwa

Blackberry,iphone,samsung zinauzwa

john hotsam da1

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
396
Reaction score
79
Bb bold 9900-laki 7.5,bold 9780-laki 5,bold 9700-laki 4.5,curve 2-laki 2.5,curve 3-laki 3.2,galaxy s2-lak 8.simu zote zpo ktk hali nzuri.kinachouzwa ni simu na betri tu.cal 0658309632
 
s2 laki nane sim na chaji tu,muwe kidogo munafanya research maana s2 mpya na box na warant ya mwaka ni dola 450 au kwa pesa za tsh wanaweza kukuuzia 700,000.
 
Mkuu $ 710 ni hadi niku PM au ndio bei zenyewe?
 
s2 laki nane sim na chaji tu,muwe kidogo munafanya research maana s2 mpya na box na warant ya mwaka ni dola 450 au kwa pesa za tsh wanaweza kukuuzia 700,000.

Mi mwenyewe nimeshangaa iyo bei kisha simu na betri tu!!
 
jamani naweza pata wapi samsung galaxy S2 original? nipo Kagera Bukoba? mwenye kuweza kujua naomba anitajie bei na jinsi navyoweza kuipata!
 
Mh! Yani hata S3 mpya hupati kwa laki 8! Ila kila lakheri.
 
Back
Top Bottom