Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau ninauza Lap y HP min kwa bei rahisi. SPEC; RAM-2GB HDD-200GB BATTERY-4HRS. But lap inahitaji Housing pamoja n power switch ila kila kitu kinafanya kazi poa. Kwa mawasiliano 0718928267
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza shamba ekari kumi nje kidogo ya manispaa ya Moro kuelekea Dodoma Menge. Kamavuko interestedi njoo Pm
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau natafuta frem sehem yoyote Dar lakini iwe na mzunguko mkubwa wa watu ni kwa ajili ya Biashara ya uwakala na Nguo. Bei isizidi elfu 50,000 kwa mwezi.
0 Reactions
3 Replies
969 Views
Nauza jiko la plate nne mbili za gesi mbili za umeme bei 350000 my no: 0718278220
0 Reactions
2 Replies
2K Views
True Ink Associates would like to Announce that the Fourth CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes is scheduled to commence on Monday 31/08/2015, Dar Es Salaam City Center...
0 Reactions
60 Replies
5K Views
We provide installation of Security alarms, Cctv Cameras, Car Track, electric fence at the following areas. Residential Houses, Apartments, Godowns, Game Reserves, Mining Areas. We design...
1 Reactions
0 Replies
781 Views
Nauza gari jamani aina ya Suzuki Carry bei ni poa kabisa tsh 5 milion na maelewano yapo kidogo. Gari inafanya kazi bila shida yeyote , kwa mawasiliano zaidi nipigie kwenye no 0715 546818.
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Habari. Nahitaji kununua Satellite Dish za cband 10ft. Mwenye nazo anitumie namba yake ya simu nitampigia. Asanteni sana.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kampuni yetu ya kays logistics inaagiza na kuuza bentonite (drying mud) inayotumika zaidi kwa ujenzi ndani ya maji au kwenye shughuli za madini. Tuna bags za kilo 25 na kilo 50 per bag. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau natafuta transporter anayeweza kufanya kazi ya kuhamisha staff toka Zanzibar kuja Moro, na kutoka Iringa kuja Moro. Sharti transporter awe na ofisi Morogoro. Mwenye lolote ani-PM tafadhali...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wakuu wa jf, Natafuta TRANSPORTER anaye safirisha mizogo MSUMBIJI (mozambique) Naomba uni PM .. !
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu, Naweza kupata viti vya saloon ya kiume vya kuchonga au used? Naweza kupata kwa shilingi ngapi? Mwenye navyo aweke offer yake, mi naishi Dar. Asanteni..
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Wakuu habari. Natafuta transport company ya kufanya transit shipping ya jet fuel to Rwanda. Ni semi trailer truck needed. Anyone please call 0654000253 or pm
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu,Niko Dar,nahitaji TV nzuri nchi 25 hadi 28 kampuni Kati ya LG,Samsung, Arboder na Singsung.Nimejipanga kwa 300,000/= Karibu tuongee.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wanajamvi ninaomba kwa mtu yeyeto anaweza kunifanikishia hicho chumba. ...kiwe mahali pazuri penye usalama na bei ikiwa chini ya 50,000/- itakuwa poa sana lkn hata ikizid sio mbaya cha muhimu ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Imelipiwa vitu vyote bima na motor vehecle hadi 2016. Inavifaa vyake vyote kama jeki wheel spana na spare tairi. CC: Elli
1 Reactions
3 Replies
971 Views
Habari wakuu. Kwa anayeuza simu tajwa hapo juu nahitaji kuinunua by j5. Simu iwe nzuri isiwe na tatizo lolote wala uchakavu. Nitumie ujumbe pm kama unayo simu.
0 Reactions
0 Replies
678 Views
Natafuta hiyo pikipiki kwa ajili ya biashara zangu. Nipo vijijini. Kama unayo niuzie.Tutafutane. 0766978393.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kila mtanzania anaweza kujenga nyumba ya kuishi mwenyewe iwapo kama una nia yakufanya hivyo. Nunua kitu kimoja kimoja pindi unapopata hela kidogo. kuna watu wanapanga nyumba kwa mamilion ya...
13 Reactions
91 Replies
23K Views
Nina friji ya mtumba, nikiiunganisha kwenye umeme inafanya kazi vizuri ila umeme ukiyumba kidogo tu au ukikatika na kurudi hapo hapo inazimika na haiwaki tena mpaka baada ya muda mrefu. Hii ni...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Back
Top Bottom