kamavuko ni nini?
kuna maji?
unauzaje?
hati?
kuna heka 10 ruvu meter 10 kutoka mtoni shamba zuri sana bei 6 m kutoka ubungo km 60 mpaka shamban barabara safi sana 0752 096 782

Kaka shamba bado lipo?