Mapondo Mapoka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 274
- 135
Habari zenu wakuu,Niko Dar,nahitaji TV nzuri nchi 25 hadi 28 kampuni Kati ya LG,Samsung, Arboder na Singsung.Nimejipanga kwa 300,000/=
Karibu tuongee.
Karibu tuongee.
Kwani mkuu hakuna kampuni nyingine kama hisense ni mzur sn