Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau Nina iPhone 5s nauza lakini iko icloud locked kwa bei nafuu saana 300,000tsh mazungumzo yapo lakini. Serious buyer inbox me via 0718 620 305
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wakuu, nauza viwanja maeneo ya mbezi msakuzi. Vina ukubwa Wa mita 20 Kwa 20. Bei kuanzia million 7 hadi nane. Barbara inafika hadi uwanjani.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Available tecno phantom 5 with warranty 1year sealed full box... Call/ WhatsApp 0652735050
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Imelipiwa vitu vyote bima na motor vehecle hadi 2016. Inavifaa vyake vyote kama jeki wheel spana na spare tairi.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Imelipiwa motor vehicle hadi 2016. Imelipiwa comprehensive insurance hadi 2016.engine cc 1990. Gari ya mwaka 1999. Ina seat 8. Ina roof mbili kwa juu zinafunguka zote.ina carie kwa juu.Namba DEW...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nyumba nzima inapangishwa kihonda Morogoro mkabala na IDIVA 3bedroom Kitchen Sitting & dinning room. Choo ndani Maji + Umeme Haina udalali katika ulipaji kodi. Pango kwa miezi 6 0658598946...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Viwanja vitatu vya 30*30 vinauzwa. 3mil kila kimoja. Vyote kwa pamoja ni 8mil. Namba 0714-943684
0 Reactions
2 Replies
2K Views
LAPTOP AINA YA HP PAVILION G6 IPO SOKONI KWA 350K TU INA SIFA ZIFUATAZO: HDD: 500GB RAM: 4GB CPU: Intel CORE(TM)i3-3110M PROCESSOR:2.4Ghz Battery needs replacement. Laptop bado mpya kabisa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
20 feet coldroom containers zinauzwa zipo tatu (3), kila moja inauzwa million 9. Serious buyer . call:0652 206863 au 0714 961661 au ni PM
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi viwanja vipo mjini mahala ambapo huduma za kijamii zinapatikana kwa urahisi sana. UFAFANUZI NA BEI HUU HAPA. ur Mita 35 na sm 60 up Mita 12 na sm 70 bei Mil 15 ...................... ur...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kwa wale wahitaji we mashamba Bagamoyo, sasa unaweza kupata shamba Bagamoyo,maeneo ya Kiwangwa kunakolimwa mananasi pamoja na Fukayose. Lakini pia kwa wale wanaohitaji maeneo ya Kilomo...
0 Reactions
44 Replies
9K Views
Natafuta Samsung note 1 iwe katika Hali nzuri scratch kwenye kioo zisiwepo na body liwe katika Hali nzuri tupia hapa bei maelewano
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari! nauza shamba,liko kijiji cha kisande wilaya ya kondoa, lina ukubwa wa eka 5 linafaa kwa kilimo cha mahindi,vitunguu,alizeti na mazao mengine. bei ni 300,000 kwa eka.karibuni.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa mwenye TV tajwa hapo juu, Isiwe na tatizo lolote , Na unipe warranty ya MIEZI kadhaa kudhihirisha una imani Na TV yako. Bajeti ni 160,000/=, Pia twaweza kuzungumza. NIPM AU WEKA NUMBER...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
natafuta smartphone ya laini 2 iwe inafanya kazi freshandroid kama ipo nicheki 0719908742
0 Reactions
0 Replies
652 Views
Nahitaji hizi type writing machine zile model za zamani, nahitaji kama 30 hivi. 0715812160
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Lipo makurunge km 3 toka barabarani unanunua bei 1,500,000 kwa kila heka maongezi yapo kama uko yayari tuwasiliane pm
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Lipo kama kama 2.5 toka Barbara kubwa ni eka 2 kila eka mil 2 zote eka 2 ni mil 4. Nicheki 0784791233
0 Reactions
2 Replies
983 Views
Kuna anayejua wapi wanapatikana African Grey Parrots? Please tufahamishane tafadhali na bei zikoje.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom