Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

core i5 au i7 Iwe in excellent conditions ram 4gb na graphic card kuanzia 2gb na charge 3hrs minimum. Nicheki 0688206680 bajeti laki 5 . Nipo Dar isiwe na tatizo.
0 Reactions
1 Replies
766 Views
Wakuu moja kati ya simu zifuatazo HTC M7, SAMSUNG NOTE 2, IPHONE 4S zote ziwe used na zipo in good condition, mwenye simu yoyote kati ya hizo anipm au aweke contact zake
0 Reactions
1 Replies
1K Views
IPO maeneo ya kinyerezi.kodi laki mbili na nusu kwa mwenzi .kwa maelezo zaidi pm
0 Reactions
0 Replies
1K Views
UNAIFAHAMU ANGELLIFE STYLE!!? habari zenu wanajamvi kuna fursa nimeiona kutoka kwa angelyf style na nimependa kushare na nyie vjana wenzangu ambao tunahangaika na kutafuta ajira.ni biashara ya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nipo Mwanza na kama una pikipiki ziwe na hali nzuri na zinatembea unauza kwa bei hiyo . Basi call/ text 0756 442366 or 0673 442366, kwa mawasiliano zaidi.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani kwa yule ambae anataka kupauwa nyumba yake basi achague mabati ya ANDO
0 Reactions
7 Replies
11K Views
Zebaki au Mercury nyeupe zinapatikana, nyekundu zipo ila zinapatikana kwa taabu na ni ghali sana. Kama unauhitaji au una mtu anahitaji. Nicheki apa 0755 927881..!!(whassapp)
0 Reactions
6 Replies
6K Views
EE BWANA mimi ni mfugaji wa kuku kibamba [kuku wa mayai] nahitaji cages kwa ajili ya kuku wangu [2500]. ningependa kujua nitapata cage wapi na kwa bei gani hapa Dar hata nikipata mafundi bora wa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Natafuta engine ya Noah used Kwa bei ambayo nzuri nipo Dar. Yeyote nicheki 0784791233.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nahitaji desktop computer iwe na monitor yake. Kwa yeyote aliyonayo anicheki Kwa 0713791233 na kunitumia Picha Whasp 0765791233.
0 Reactions
2 Replies
840 Views
Nauza nokia 311 inafanya kazi fresh niyakubadilisha housing sababu imechoka kiasi. Kama unaitaka nicheki 0757227796
0 Reactions
0 Replies
722 Views
mwenye nayo anipm fasta
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaj iphone 5c au sumsung galaxy S4 orignal ambazo bado zipo katika gud condition. Mwenye nazo anipm pia aniambie bei zake.
0 Reactions
0 Replies
633 Views
KWANZA 1. acha mchepuko (a relationship is about 2ppl not the whole world) 2. acha kujichua (you damage senstive tissues) 3. acha mirungi na pombe kali 4. kula chakula bora hasa ugali wa dona...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Kutana na consultants na vipodozi bora ili uweze 1. Kufanya ngozi iwe laini na inayong'aa 2. Kuondoa chunusi 3. Kuondoa madoa na makovu mwilini 4. Kuondoa harufu mbaya mdomoni, makwapani na sehemu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
z10
.
0 Reactions
0 Replies
570 Views
Anahtajika kijana mchapakaz wa kuweza kukaanga chipsi,awe dar kwa mawasiliano 0659965555
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Simu Aina ya Tecno Model yake C8 inauzwa. Ni model mpya ya Tecno yenye specifications sawa kabisa na smartphone yoyote kali. Bei sh. 270,000. Ina wiki moja toka nimenunua. Dukani inauzwa sh...
0 Reactions
5 Replies
13K Views
nauza htc one s specifications internal-16gb ram-1gb camera-8mp ipo kwenye good condition bei-230,000 {230k} mwenye huitaji anicheki tufanye biashara 0659116111
0 Reactions
2 Replies
812 Views
Ipatikane moja kati ya hizi, xw6600 au xw4600. RAM ikiwa 2 nakuendelea sio mbaya, Hard drive 500GB nakuendelea na Processor 3GHZ nakuendelea..
0 Reactions
0 Replies
719 Views
Back
Top Bottom