Viti vya saloon ya kiume vya kuchonga

Viti vya saloon ya kiume vya kuchonga

MTOTO KITAA

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
245
Reaction score
116
Wakuu heshima kwenu,

Naweza kupata viti vya saloon ya kiume vya kuchonga au used? Naweza kupata kwa shilingi ngapi? Mwenye navyo aweke offer yake, mi naishi Dar.

Asanteni..
 
Tafuta fundi anayechomelea akupe estimates za gharama.
Nenda na dukani uangalie pia gharama.
Linganisha angalia cha chini kabisa.
 
Mkuu viti hivi huwezi kupata bei maalum.
Maana vina design tofauti sana.

Kuna jamaa pale Buguruni shell ulizia tu wanapochomea utaambiwa,nakumbuka niliwahi kutengenezewa pale 2006,sasa sijui kama wapo.Ni wazuri sana.
Angalizo,Sio kila fundi welding basi anajua kutengeneza hivi viti,ila ukiingia kichwa kichwa jamaa wananjaa watakuundia tu kivyao
 
Wakuu heshima kwenu,

Naweza kupata viti vya saloon ya kiume vya kuchonga au used? Naweza kupata kwa shilingi ngapi? Mwenye navyo aweke offer yake, mi naishi Dar.

Asanteni..

Mi nauza vifaa vifuatavyo,
Viti 2 vya kunyolea,
Benchi la **** la kusubiria,
Mashine
Sterlizer,
Tv 14"
Startimes,
Sink la kuoshea,
Taa za njee zinazozunguka,
Vioo n.k.
Bei ya vyote kwa ujumla wake 1.8m
Nicheki 0713 322 856
 
Mi nauza vifaa vifuatavyo,
Viti 2 vya kunyolea,
Benchi la **** la kusubiria,
Mashine
Sterlizer,
Tv 14"
Startimes,
Sink la kuoshea,
Taa za njee zinazozunguka,
Vioo n.k.
Bei ya vyote kwa ujumla wake 1.8m
Nicheki 0713 322 856

Hapo kwenye red!!!
Smart phone katika ubora wake wa keyboard
 
Mi nauza vifaa vifuatavyo,
Viti 2 vya kunyolea,
Benchi la **** la kusubiria,
Mashine
Sterlizer,
Tv 14"
Startimes,
Sink la kuoshea,
Taa za njee zinazozunguka,
Vioo n.k.
Bei ya vyote kwa ujumla wake 1.8m
Nicheki 0713 322 856
sink ni la kukaa, kusimama au kulala?
 
Mi nauza vifaa vifuatavyo,
Viti 2 vya kunyolea,
Benchi la **** la kusubiria,
Mashine
Sterlizer,
Tv 14"
Startimes,
Sink la kuoshea,
Taa za njee zinazozunguka,
Vioo n.k.
Bei ya vyote kwa ujumla wake 1.8m
Nicheki 0713 322 856

Mi nataka hilo benchi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom