NDESA BOY
Senior Member
- Dec 30, 2013
- 104
- 26
wanajamvi ninaomba kwa mtu yeyeto anaweza kunifanikishia hicho chumba. ...kiwe mahali pazuri penye usalama na bei ikiwa chini ya 50,000/- itakuwa poa sana lkn hata ikizid sio mbaya cha muhimu ni ubora wa chumba....natanguliza shukrani za dhati kwa mwenye msaada anaweza kunipm