Habari wana JF ?
Primeprintsystems & general services .
Located : Kariakoo
Tunadeal na desgning & printing (promotional materials (brochures,Identity card,business card,fliers,posters)
large...
Iwe katika hali nzuri, plate number kwanzia C, ikiwa D itakuwa Safi zaidi. Isiwe inadaiwa road licence. Budget Ni mil 5.
Napatikana Dar es Salaam. 0755815184
Habari zenu wakuu.
Nimepitia beforward mtandaoni nimeipenda NOAH ambayo ni USD 700.
Naomba msaada wa kujua gharama mpaka naliweka ndani hilo gari ni Tsh ngapi?
Shukrani natanguliza.
Habari ya humu wakuu am Tanzanian live in Nairobi nafanya kazi zote za gypsum kama-
Gypsum partition
Gypsum celling
Acoustic celling.
Nina uzoefu wa muda mrefu pia nimefanya kazi sehemu tofauti...
Nauza fish pond pump pamoja na filter na role line na underlayer. Vote kwa pamoja ni tsh 900,000 kutoka UK.
Role liner in urefu mitre 9 kwa 4
Pump 9000 litter per hour. Na filter 10,000 per...
Habari! nauza shamba liko kijiji cha kisande wilaya ya kondoa,lina ukubwa wa eka 5 kwa bei ya 400,000 kwa eka. linafaa kwa kilimo cha mahindi,alzeti,vitunguu na mazao mengine. karibuni.
Iwe Sony, Hitachi au D Jack,
IWE nzima,
iwe inaonesha PICHA kwa wangavu mzuri (clarity),
Isiwe imechoka,
Na isiwe Na michubuko.
Iwe Bagamoyo au Dar,
Bajeti ni 60,000/=.
Kama upo serious nipm...
kama una sifa zifuatazo tuwasiliane upate kazi ya kukaa counter.
uwe umemaliza form four. jinsia ya kiume.
wasilliana na number hiz kwa maelezo zaidi 0759113895:cheer2:
Habari! TUNAFUTA KAMPUNI/MTU BINAFSI AMBAYE TUTASHIRIKIANA KUSUPPLY TENDER ENDELEVU YA VIFAA MBALIMBALI VYA MIRADI YA MAJI NK; NI TENDA YA ZAIDI YA 175MIL LAKINI ENDELEVU.
Kwa mawasiliano...
click that link am getting my first payment today (usd 485) through western union, not bad deal after just 8 days , my week end is taken care of why not you?
http://jobrize.com/index.php?ref=450601
Wakuu habari za jioni,
Natafuta mashamba ya kununua kwa bei poa, maeneo ya Kibaha au Mkuranga.
Mashamba sharti yawe tambarare na ukubwa usiopungu hekari 30 kwa jumla.
Sihitaji mashamba yenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.