Frem ya kupanga

Frem ya kupanga

Shayla

Senior Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
193
Reaction score
129
Wadau natafuta frem sehem yoyote Dar lakini iwe na mzunguko mkubwa wa watu ni kwa ajili ya Biashara ya uwakala na Nguo.

Bei isizidi elfu 50,000 kwa mwezi.
 
Hiyo n lak5 au elfu50 kwa mwezi, kama n elfu50 hiyo sehemu mzunguko wake n mdogo sana.

Lakin jambo bora n kuchagua maeneo unayotaka then wape madalal wa yale maeneo kaz
 
Asante kwa ushauri mkuu ngoja na wengine waje.
 
Nguo aina gani pia lazima...ninafremu iko Sinza makaburini inafaa ila ni raki 300000 kwa mwezi na imebakiza miezi Tisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom