Natafuta transporter wa jet fuel to rwanda

Natafuta transporter wa jet fuel to rwanda

MUST

Senior Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
108
Reaction score
76
Wakuu habari. Natafuta transport company ya kufanya transit shipping ya jet fuel to Rwanda. Ni semi trailer truck needed. Anyone please call 0654000253 or pm
 
Wakuu habari. Natafuta transport company ya kufanya transit shipping ya jet fuel to Rwanda. Ni semi trailer truck needed. Anyone please call 0654000253 or pm

Una mafuta kiasi gani?
 
Rwanda ukikodi gari kijanga gari halirudi mapema tena ukifanya mchezo linaweza likapotezwa document za mzingo zinatakiwa ziendane na jina la kampuni ya gari ulitumia kukodi!
 
mafuta ya Jet au mafuta ya ndege siyo kama mafuta mengine. akifika Rwanda anashushwa Airport, gari haichelewe, Mkuu. siku mbili au tatu.
 
Ni jet A-1 au Avgas.......?.....
 
Kwa staili hii ndiomana tz inaogopa east african intergration, mtu ametoa offer na mawasiliano yake, wewe kama kama uko interesed mcheki kwa mawasiliano yaliyowekwa
 
Back
Top Bottom