Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Waungwana nahitaji mwalimu mzuri(mtalaam) wa kufundisha mtoto wa darasa la kwanza muda wa ziada. Mwalimu awe anauzoefu wa kufundisha shule za mfumo wa kiingereza. Eneo kigamboni, muda saa 11...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
tigo 250000 mpesa 140000 airtel money 95000 0712191251
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Mil 4.3 fixed 0719755966 Haidaiwi chochote inafika mkoà wowote
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Aina ya Asus imetumika kidogo sana HD 500GB, RAM 4GB, CORE 3 inakaa na chaji zaidi ya masaa 5 ikiwa busy tu. Ipo vizuri sana. Nicheck 0713791233 au 0765791233
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi everyone! natoa huduma ya malazi maeneo ya arusha mbauda. vyumba vyangu ni vya kisasa na vyenye standard ya hali ya juu. kila chumba ni self contained, kitanda cha chuma, heater ya maji moto...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Habari wanajamii wenzangu. Kwa wale wenye uhitaji wa website ama blog suluhisho ni hapa.. Nipatie kazi nikukabidhi ndani ya wiki moja ikiwa katika viwango na ubora wa kimataifa.. Kwa mawasiliano...
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Kipo eneo la Baraza la mitihani.. Kwa wasiofahamu unashuka Mbezbeach makonde Baraza lipo kwa juu dakika 15 Kutoka barabarani kituo cha makonde. Changamkia fursa, ukija njoo na pesa yako Kabisa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
eneo linauzwa lipo karibu na dar zoo kigamboni eneo limepimwa na hati zake zipo heka 2 zinauzwa kwa jumla sh 30 m ukitaka heka moja maelewano pia yapo mawasiliano 0752 096 782
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nyumba inapangishwa Sinza Mugabe Master bedroom Single room Living room Public toilet Vyumba ni vikubwa sana na madirisha makubwa yenye hewa,maru maru mpka chooni Dakika 1 kutoka Mugabe shulen...
0 Reactions
0 Replies
650 Views
Naitaji simu ya smart phone iwe na uwezo mzur... cash nina laki moja..napatikana Dar es salaam Tegeta kwa ndevu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Aina Ya simu =Vodafone VF685 Internal Memory=2GB RAM=512 MB camera=3.15 mpx Android version=4.4.2 KitKat Bei ni Tsh 53,000 Tu simu ni nzimq ,haina shida yoyote wala haijawahi kufika kwa fundi...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Kama unauza simu kwa hela hiyo niliyoitaja nicheki. NB: kama itakuwa tecno basi iwe c5 au c8 mawasiliano 0713268209
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Nyumba inapangishwa Sinza Mugabe Master bedroom Single room Living room Public toilet Vyumba ni vikubwa sana na madirisha makubwa yenye hewa,maru maru mpka chooni Dakika 1 kutoka Mugabe shulen...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Frem Ipo hapa mwenge karibu na TRA, opozit magorofa ya jeshi, ni kubwa na biashara Ipo, frem Ipo barabarani kabisa barabara ya mwenge kwenda Africa sana bei ni 400,000 maongezi yako wasiliana nami...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ipo karibu na chuo cha takwimu changanyikeni. inavyumba 3.kimoja ni master, jiko na sebule. parking ya kutosha kodi ni laki 4 na nusu. haina ya udalali. karibuni 0718800909
0 Reactions
0 Replies
706 Views
Kwa hapa Kiteto, magazeti ya aina zote yanapatikana maeneo ya Masai Land. Karibuni...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nauza samsung galaxy s5 mpya,haijatumika hata kidogo Bei 580,000 Nakupa na accessories( earphone usb cable) original Wasiliana nami kupitia 0758728258
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Salama waungwana, Kama kichwa cha habari kisemavyo, kuna kazi ya kuchimba kisima, kwa yeyote mwenye kufanya kazi tajwa tafadhali ani-PM kwa mawasiliano zaidi.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mwenye sim ya Samsung s3 ambayo haitumii au display natafuta jaman ni very urgent plsease nicheki tuelewane
0 Reactions
1 Replies
872 Views
Tunauza vifaa hivi vya kilimo ni planter,harow la makucha, pipa la kunyunyizia dawa na mpini wa jembe ni vifaa imara sana vimetoka denmark.. bei ni mil 7.5 kwa vyote hivi.. zaidi piga simu vipo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…