Eneo linauzwa Kigamboni near Dar zoo

FredKavishe

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,090
318
eneo linauzwa lipo karibu na dar zoo kigamboni
eneo limepimwa na hati zake zipo
heka 2 zinauzwa kwa jumla sh 30 m
ukitaka heka moja maelewano pia yapo
mawasiliano 0752 096 782
 
Hati zipi,za serikali ya mtaa au Tittle deed tumezozoe za Wizarani?
Na hati zinasomeka kama shamba au sehem ya makazi.
Maana maeneo ya huko hato nyingi zilitolewa za mashamba,sasa muda wowote watu wanafanya yao.
Hembu weka wazi mkuu
 
hati inasomeka kama sehemu ya makazi
 
Back
Top Bottom