Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
Nyumba inauzwa maeneo ya Lash Garden kwa nyuma kama unapandia hii njia ya kwenda ST PATRICK TRUST SCHOOL.Ina bedrooms 4, tatu ni Master ,ina sitting room, kitchen, dinning room, library. Na ina gorofa ya chumba kimoja ,na ina maji ya kisima ,mawasiliano kwa whatsapp available +255788860898 kwa picha naweza kukutumia kwa whatsapp .must see .