Olasit House inatoa huduma za malazi Arusha kwa bei nafuu zaidi

maridad

Member
Dec 30, 2015
14
2
Hi everyone!
natoa huduma ya malazi maeneo ya arusha mbauda. vyumba vyangu ni vya kisasa na vyenye standard ya hali ya juu. kila chumba ni self contained, kitanda cha chuma, heater ya maji moto, tv flat screen kila chumba chenye packages ya dstv.
bei zetu ni rahs sana 25000/ tshs per night ambayo inajumlisha na breakfast asubuh. tupo mazingira yenye utulivu ulinzi wa kutosha muda wote na parking kubwa ya magar. usafi ndo silaha yetu kubwa.
pia natoa offer kwa wale wanaokaaa muda mrefu kama voluntiaz katika taasis mbalimbali, wafanyabiashara, wnaokuja kutembea arusha na wanakuja kwa ajili ya vikao mbali mbali ninazo packages zenu tofauti na bei yetu tajwa hapo juu yaan mnapunguzo kubwa ajiri yenu.
unaweza nicheki kwa simu namba 0652812718 wasap au call.
 
Attachments

  • 1452411470750.jpg
    1452411470750.jpg
    79.1 KB · Views: 96
  • 1452411567728.jpg
    1452411567728.jpg
    48 KB · Views: 132
Weka picha!, alafu hizo habari za dstv, heater nk kwangu hazina tija kabisa maana sitaondoka navyo na nikiwa chumbani huwa nakuwa bize na kazi kwenye laptop, wala sivifaidi hivyo vitu vyenyewe. kama ni fahari ya macho tu sawa. Weka picha na location inapopatikana then ntakucheki kama ikopoa
 
Wabongo bana, kama havina umuhimu kwako ndio sababu ya kutokuwa muhimu kwa wengine? Au ulitaka kutuonesha ulivyo busy na computer uwapo safarini? Kwamba hata maji ya joto ya kuoga kwako sio deal?
 
Sawa nmekuelewa, hiyo ni individual preference ndg yangu. Mm hata niende iringa, hutanikuta naoga maji ya moto. So huwa sinaga time nayo, alafu siku hizi ukiona mtu yupo bize na PC usishangae sana ni kawaida. Nahisi hata ww unakuaga bize na whatsap ktk simu yako. Chamsingi kwangu niwapo kwenye maeneo hayo ni usalama tu!
 
nimejitahid kuweka wazi huduma ninayoitoa pamoja na quality ya chumba ukijumlisha na bei halisi...title inajieleza kila kitu including location na picha nimeweka!! Inaonekana maisha yanakuchanganya au inawezekana hata kiumri umenizidi...tafuta hela usilete ushindani mtandaoni c wote ni vijana. Kutumia computer iyo personal ishu yako na kama ishu ni laptop kila mtu analaptop siku.tafuta utajir kijana
 
Weka picha!, alafu hizo habari za dstv, heater nk kwangu hazina tija kabisa maana sitaondoka navyo na nikiwa chumbani huwa nakuwa bize na kazi kwenye laptop, wala sivifaidi hivyo vitu vyenyewe. kama ni fahari ya macho tu sawa. Weka picha na location inapopatikana then ntakucheki kama ikopoa
Tatizo lako umeshazoe gesti za buku tatu.
 
Nimeandika kwenye heading inaitwa OLASIT HOUSE...IPO ARUSHA MAENEO YA MBAUDA KITUO CHA BUCHADI AU OFFICE ZA PRIDE MBAUDA...
 
nimejitahid kuweka wazi huduma ninayoitoa pamoja na quality ya chumba ukijumlisha na bei halisi...title inajieleza kila kitu including location na picha nimeweka!! Inaonekana maisha yanakuchanganya au inawezekana hata kiumri umenizidi...tafuta hela usilete ushindani mtandaoni c wote ni vijana. Kutumia computer iyo personal ishu yako na kama ishu ni laptop kila mtu analaptop siku.tafuta utajir kijana

haa haaaaa!, sawa mtoto.
 
VIP kuhusu ukumbi restaurant garden bar unaweza nipatia kibarua mkuu mm nikawa controller
 
Usalama vipi?Na utulivu kwa mtu aliye kwenye mapumziko?
 
Last edited:
Back
Top Bottom