Chumba kwa 50,000 kina tyles,Madirisha ya vioo, gypsum na choo ndani

Conroy

Senior Member
May 23, 2014
158
44
Kipo eneo la Baraza la mitihani.. Kwa wasiofahamu unashuka Mbezbeach makonde Baraza lipo kwa juu dakika 15 Kutoka barabarani kituo cha makonde. Changamkia fursa, ukija njoo na pesa yako Kabisa 300000 kodi ya miezi 6. Na 50000 ya udalali
 
baraza la mitihani... mbezbeach makonde.. Dk 15 kutoka barabara ya makonde.. Mkuu ni viloba asubuhi hii baridi kali na Mvua du.. umetisha
 
Kipo eneo la Baraza la mitihani.. Mbezbeach makonde kwa juu dakika 15 Kutoka barabarani makonde. Changamkia fursa, ukija njoo na pesa yako Kabisa 300000 kodi ya miezi 6.
hongera kwa kuweka tangazo kijana
 
Back
Top Bottom