Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Sample ndo Kama hii , Kwa anaejua garden kubwa ya Maua Dar au ua hilo linapopatikana nipe details please Jina lake ni Anthorium
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Kabati kubwa la vyombo linauzwa limetumika miezi mitatu tu.Bei inaanzia laki mbili maongezi yapo.Kama uko interested ni pm.Thanks
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Gari inauzwa, ni ya mwaka 2004....bei ni milion 9. Haina tatzo lolote.. Nichek kwa 0713806766.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Viwanja viko kibamba shule ukubwa kuanzia Mita 20*20 bei 4.5milion bei inaongezeka Kulingana na ukubwa, vyote vinafikika kwa barabara, huduma Za umeme na maji zinapatikana. Kwa taarifa zaidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa mahitaji ya mafundi waliobobea katika maswala ya gypsum celling partition skimming painting call +255742556656 whatsapp +254717609960 npo dar kwa mda tu
0 Reactions
0 Replies
791 Views
20*20 vinauzwa 2.8m ila mnunuzi anaongea pia.Maji na mchanga vinapatikana kwa urahisi pia
0 Reactions
1 Replies
2K Views
new 2015, full hd, 2usb port, 2hdmi, 2AV in price 520000/-
0 Reactions
1 Replies
965 Views
Cancelled
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Jiunge na biashara ya kimataifa. Tunauza vitabu na kukuwezesha kuanza biashara kwa mtaji mdogo tu wa Tsh 40,000. Four Corners Alliance Group | Building A Secure Business Together 0713823702
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji fundi wa kutengeneza machine yangu ambayo inafanya kazi 3 Photocopy, Printing na scanning. Machine ni Canon MG 2440 Kama yupo tuwasiliane kwa namba 0767262530.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwa wale wapiga picha wa events mbali mbali hii inawafaa sana, ni mpya na iko na lenzi yake Bei ni 1.4 mil
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Toyota aliteza 2002 mwaka 1890 cc Km 55478 6cylinder Ina hitaji hela haraka Bei 9m maongez yako 0656436662 Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Inatakiwa Toyota Raum new model, budget shilling 7 million. Kama unayo tuwasiliane kwa sifa na taarifa zaidi.
0 Reactions
1 Replies
758 Views
Serious buyers wa used car kutoka japan waweza nicheki tuna yard kubwa ya kila aina ya gari japan na tunasafirisha kwa order,Tafadhali cheki na mimi kwa namba 0719215909 kwa mahitaji ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Upo Mapinga bei ni maelewano, ukubwa wa eka moja umepimwa na una hati.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tunatoa huduma ya glass design na printing kwa ajiri ya matumizi mbalimbali kama sherehe..matumizi ya nyumbani nakadhalika.. tucheki kwa namba 0653218299
0 Reactions
0 Replies
689 Views
Kwa huduma bora za kufungiwa madirisha ya aluminium tucheki kwa namba 0653218299
0 Reactions
0 Replies
987 Views
Tunatoa huduma ya glass design and printing.. kwa ajiri ya matumizi mbalimbali.. mawasiliano 0653218299
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari, natafuta nyumba ya kupanga kigamboni..iwe maeneo ya kuanzia feri-mji mwema au hata kibada sio mbaya. Iwe na vyumba 3 vya kulala, sitting room, kitchen, fence etc..budget yangu ni 250,000...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jipatie vitabu mbalimbali kutoka Tanzania Educational Publishers Ltd, kwaajili ya Kilimo na Mifugo, Sheria na Haki za Binadamu, Hadithi za watoto /riwaya, Ufundi na tekinolojia, siasa na Maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom