Habari wandugu, Nyumba mbili zinapangishwa. Moja sh 350,000 kwa mwezi na nyingine sh 300,000 kwa mwezi. Kodi inatakiwa ya miezi sita. Nyumba zote zina vyumba viwili vya kulala (kimoja masta)...
nauza s4 used black in colour ..imetumika nje..imebaki moja almost new haina mchubuko hata mmoja..
internal 16gb
ram-2gb
camera-13mpx
bei 380000(380k)
maelewano yapo...
nichek no. 0659116111
Jaman nauza eneo/shamba la ekari kumi lililopo mapinga bagamoyo na kwakila eka moja ni sh mil 7.5 na umbali toka barabara ya lami ni kilomita moja tuu na bei inapungua.. kwa mawasiliano ni 0742864583
Habari za leo wana Jamii Forum, ninaleta kwenu dawa ya kupunguza uzito/kutoa kitambi inayoitwa 'Bi Sheng Yuan'. Dawa hii inakuja kwenye pakiti yenye 'tea bags' 25 ambayo unatakiwa kunywa mara...
Wakuu, heri ya mwaka mpya
Nipo ktk kutafuta gari ndogo ya kutembelea. luxury but fuel efficient na iliyo ngumu. Baada ya kusearch kwa muda na kupitia review ya gari mbalimbali kama mark II grande...
Mafunzo haya ni ya wiki moja ambayo yanaendeshwa na kusimamiwa na Tanzania Youth Entrepreneurship and Empowerment Organization yenye usajili namba 00NGO/00006706.
Lengo la mafunzo haya ni...
Nina mbuzi wakubwa wa kienyeji, kwa ambaye anahitaji tuwasiliane pm, wapo wa supu na wa mafuta. kama una order ya mbuzi wengi au mmoja mmoja pia tuwasiliane. mbuzi nilionao wanatoka mkoa wa...
Mashine ya kupigia tofali na vibao vyake viko 500 inauzwa, inatoa tofali moja la 5.5", ina mwezi mmoja tangu inunuliwe na imefanya kazi mara mbili tu.
Bei 885,000 Neg.
niPM tufanye biashara
Ni nyumba kubwa ya vyumba 3, dinning, sitting kubwa,uwa mpana,fence na geti,eneo limepimwa iko jiran na Nganza secondary hapa nyegezi Mwanza anaehitaji bei ni milion 45 tuwasiliane kwa 0788752672
Lipo kisemvule ni ekari 36 karibu na kiwanda cha cement cha rhino lipo mita chache from main road inayokwenda mkuranga interested buyer unakatibishwa just PM
Habari ya leo waungwana. Natumaini wote mu wazima wa afya na mko poa katika kusukuma maendeleo ya Taifa letu pendwa Tanzania.
Bila kuchoshana.
Kama tunavofahamu kumekuwa na ongezeko kubwa sana...
Kampuni ya Edmark kutoka Malaysia inamakao makuu Masaki Dar es salaam Tanzania.Inajihusisha na uuzaji wa bidhaa za afya (food supplement) ambazo ni asili na zimethibitisha na TFDA.
Kampuni inatoa...
Habari,
Nauza kiwanja kipo Korogwe mjini maeneo ya kwam'mbo karibu kabisa na magunga hospitali, kiwanja kina msingi wa mawe vyumba vinne na michungwa kadhaa, kina ukubwa wa robo heka bei tsh 2.7...
Wakuu natumaini mu-wazima,
Nahitaji kununua used mables kwa ajili ya "viji-ujenzi" vyangu hapa mjini Arusha. Kama unazo au unafahamu wapi naweza kupata, tafadhali nijuze.
Plot at Kitunda Magore kwa Mpemba. Sehemu imetulia. Viwanja vimepimwa kienyeji kwa kuzingatia miundo mbinu yote especially barabara zenye upana wa 5Meters.
Vyote kwa pamoja vina ujazo wa 30 X...
Specs; iSO 7.1, 16 Gigs, Black color, clean unlocked IMIE and open iCloud.
A few scuffs on the front screen, like new on the back.
Offer: Tsh 250,000/-
PM for contact!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.