habari za jioni wadau!!
naomba msaada kwa mtu ajue soko la chengachenga ndogo za green toumaline hasa kenya ambapo nmepata tetesi kua ilo soko lipo. ila kwa Tanzania wanaitaji sana ya chekecho...
Je unahitaji ushauri kuhusiana na tafiti za kielemu (academic) kuanzia ngazi ya diploma, degree na masters na zisizo za kielimu?
Tafadhali wasiliana nasi. Gharama zetu za ushauri zinaanzia...
Habari wanajamvi!
Natafatuta jaw crusher yenye uwezo wa kusaga kati ya tani tano (5) mpaka ishirini (20) za mawe kwa siku. Hii ni kwa matumizi ya mchimbaji mdogo. Kama unayo au msaaada wa...
Kampuni ya CPM Business Consultants ni kampuni inayojishughulisha na kutoa ushauri wa biashara kwa wajasiriamali, imeanzisha jarida lake ambalo litatoa habari mbali mbali za kampuni kupitia...
wakuu cm natumia mwenyewe haina tatizo lolote na sababu ya kuiuza nahitaj kubadili cm,cm yangu galaxy s4 ina android version 5.0.1,ina internal memory 32GB,kama unaswali lolote usisite niulize...
Nauza maziwa kama ifuatavyo:
Fresh lita tsh 1500.
Mtindi lita tsh 2000.
Nauza kuanzia lita 5 na kuendelea.
Yanapatikana siku za Ijumaa, jumamosi na jumapili.
Ukihitaji ni pm tufanye biashara
Tunatoa huduma za:
- kuandika katiba za makampuni na NGOs
-kuandika Business plans
-kuandika company & NGO profiles n.k
Email: hoseabenjamin88@gmail.com
simu: 0752238263
Nyumba hii.ina uzwa ina miaka ina vyumba vitano ukitoa ukumbi na jiko ina mjengo wakupangisha vikiwemo vyumba vya nje na vya ndani kisima na vyo vya nje na vya ndani asante. Tsh 95m. Asanrte
Habari wanajamii
Kwa wale wenye uhitaji wa website ama blog suluhisho ni hapa..
Nipatie kazi nikukabidhi ndani ya wiki moja ikiwa katika viwango na ubora wa kimataifa..
Kwa mawasiliano
Website...
Nyumba inauzwa maeneo ya Lash Garden kwa nyuma kama unapandia hii njia ya kwenda ST PATRICK TRUST SCHOOL.Ina bedrooms 4, tatu ni Master ,ina sitting room, kitchen, dinning room, library. Na ina...
Shirika la ndege la Etihad limetajwa kuwa Shirika la Ndege la Mwaka wakati wa tuzo za Business Travel 2016. Hafla hii ilifanyika jana usiku katika hoteli ya Grosvenor House iliyopo Jijini London...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.