Mashine za kuoshea magari

Mashine za kuoshea magari

babacareeni

Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
48
Reaction score
6
Jaman mwenye idea za bei za mashine za kuoshea magari anisaidie.
Pia kama una uzoefu na hiyo biashara share pliiiiiz
 
Hizo mashine ziko za aina tofaut,nmesahau majina yake ila mwaka juzi mimi nlinunua laki8, imatumia mafuta ya petrol,zingine zinatumia umeme,zipo zingine milio na laki tatu.izo ni hizi ndogo ndogo.ila zipo kubwa zinanzia milion nusu
 
Back
Top Bottom