albertt JF-Expert Member Dec 28, 2013 339 78 Jan 28, 2016 #1 Natafuta friji dogo la mlango mmoja used kwa bei nafuu Kama unalo nichek
Linamo JF-Expert Member Jan 12, 2011 9,976 24,496 Jan 29, 2016 #2 Ingekuwa vizuri Kama ungeweka kiasi chako kabisa. Maana bei nafuu sijui ni kiasi gani
fasiliteta JF-Expert Member Jul 2, 2014 2,357 4,060 Jan 29, 2016 #3 albertt said: Natafuta friji dogo la mlango mmoja used kwa bei nafuu Kama unalo nichek Click to expand... Ninayo nauza bei nafuu tu bado iko poa nicheki 0655997761
albertt said: Natafuta friji dogo la mlango mmoja used kwa bei nafuu Kama unalo nichek Click to expand... Ninayo nauza bei nafuu tu bado iko poa nicheki 0655997761
donbeny JF-Expert Member Aug 19, 2013 3,589 3,184 Jan 29, 2016 #4 albertt said: Natafuta friji dogo la mlango mmoja used kwa bei nafuu Kama unalo nichek Click to expand... Nakushauri kununua mpya mkuu,hivi vitu vya umeme used vina matatizo sana
albertt said: Natafuta friji dogo la mlango mmoja used kwa bei nafuu Kama unalo nichek Click to expand... Nakushauri kununua mpya mkuu,hivi vitu vya umeme used vina matatizo sana