C8 ipo lete 230Kama unauza simu kwa hela hiyo niliyoitaja nicheki.
NB: kama itakuwa tecno basi iwe c5 au c8
mawasiliano 0713268209
Ndugu iyo c8 bado ipo...???C8 ipo lete 230
Uko wapi na ni nyeusi au nyeupe?Huawei y600 kwa 180
ina hali gani na ni rangi gani?njoo nikuulize TECNO Y6
iko wapina hali gani na ni rangi gani?
hiyo mkuu unauza ngapNjoo nkuuzie hii s 6 edge
Nipo singida na rangi yake ni nyeusi tiiUko wapi na ni nyeusi au nyeupe?
iko poa sana ni ya zambarauina hali gani na ni rangi gani?
Nami ninashida ya phone...utaniuzia bei gan.....nipo dar-tegetaNjoo chukua Samsung S6...