Ungerekebisha mpaka bandiko la ndani pia. Maana sio kila mtu atajua kwamba IST ni gari mkuu.Gari
Mbona hujaandika ni ya mwaka gani, au rangi gani, imesajiliwa au haijasajiliwa...imeibiwa wapi nkIST ambayo bado ipo Kwenye hari nzuri inatafutwa offer 7m-7.5m kama unayo ni PM