Jongwe
JF-Expert Member
- Apr 25, 2008
- 1,040
- 662
Waungwana nahitaji mwalimu mzuri(mtalaam) wa kufundisha mtoto wa darasa la kwanza muda wa ziada. Mwalimu awe anauzoefu wa kufundisha shule za mfumo wa kiingereza. Eneo kigamboni, muda saa 11 jioni, dakika 90 hadi 120 kwasiku, siku jumatatu hadi ijumaa. Maelzo zaidi ni PM tafadhari