Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

White color 1998 98,500Km G limited CD Player A/C Rear Spoiler Fog Lamp Bei: 13,700,000Tsh
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ina tyles fresh rangi Safi ndani ya geti dakika tano Kutoka kituoni njoo na kodi miezi Sita na kodi ya mwezi ya udalali. Inapangishwa kwa 130000tsh Mawasiliano piga 0689315582
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Sold
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Generator FIRMAN shs250000 Radio kubwa SONY shs 250000 14"TV (not flat screen) shs100000 Printer CANON 2 each shs80,000 Printer HP shs120000 Camera SONY 3CCD shs600000 VHS convertor to DVD shs...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS: Nyumba inapangishwa ipo Kijitonyama nyuma ya Polisi Mabatini: Chini ina sebule dining, chumba master, jiko, public toilet, store, Juu vyumba vitatu kimoja master...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Habari zenu Wakuu. TANGAZA MARKETING SOLUTIONS: Nyumba inapangishwaa ipo Kijitonyama Masjid Qubah nyuma ya Polisi Mabatini: Chini ina Sebule dining, chumba master, jiko, public toilet, Juu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari! Naomba wa msaada wa anaejua wapi naweza kupata au kuchongesha mashine kwa ajili ya kusaga mabunzi ya mahindi ili yatumike kwa chakula cha mifugo anijulishe.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Saloon yakike ikiwa nakilakitu, inauzwa kwabei nzuri sana... bei imejumlishwa na kodi ya frem yamda wa miezi saba jumla inataka milion5, sifa kubwa saloon ipo zaidi ya miaka 4, hakuna umuhim...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama ni wewe (fundi) tafadhari ni pm nina shida ya haraka.
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Suzuki Escudo inahitajika, hata kama ni Old model. Offer ni 4.5M, kama ina hali nzuri mteja yuko tayari. Kama unaona inafaa tuwasiliane
0 Reactions
1 Replies
854 Views
kiwanja kinauzwa goba kinzudi. ukubwa:: 400sqm (20m*20m). bei:: milioni 7. simu:: 0675107182
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Chumba kimoja master Sitting room kubwa Jiko la ndani full furnished Alluminium window Feni zimewekwa tayari Maji yapo 24hrs Car parking ipo ya kutosha Fens ipo Luku yapekeyako Mlinzi hakuna lkn...
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Ukubwa wa Kiwanja 700(35×20)SQM. Bei Milioni 15 (Maongezi Yapo) Kiwanja Kipo Sehemu nzuri, Watu wamejenga sana, Umeme upo, Kituo cha daladala hakipo mbali sana. Kiwanja ni Skwata hakijapimwa ila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa Tsh 9,900/-Joto sio tatizo tena,kiyoyozi kiganjani mwako;Feni unayoweza ichomeka katika simu yako na ikakupepea.Mawasiliano:0688304874
0 Reactions
0 Replies
850 Views
kwa wale wanaohitaji Nyumba,Magorofa ,Viwanja, Magari kwa Mnada mkoani Arusha zina hati miliki na kama ni gari zina kadi orijino kwa mkoa wa Arusha ikiwemo na karatu wasiliana na namba hizi...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Habari zenu wana jamii forum? Kwa wale wapenzi wote wa Riwaya za marehemu BEN R. MTOBWA, tayari mzigo wa MTAMBO WA MAUTI & TUTARUDI NA ROHO ZETU? UPO TAYARI. Kwa sasa, vinapatikana vitabu aina...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Natafta gari ya kununua toyota carina t.i. Au Escudo ila namba yake usajil tz ianzie na C au D.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sasa huna haja ya kuwa na kamati kuuubwa ya vinywaji.. Tawassal Vinywaji ni kampuni inayojihusisha na uuzaji wa vinywaji vyote vya jumla vya makampuni mbalimbali Tanzania km Pepsi, Cocacola, Azam...
0 Reactions
0 Replies
890 Views
chumba kiko mwenge TRA bei 90 fensi Ipo na usalama upo, kama upo serious unichek kwa 0713415537
0 Reactions
1 Replies
906 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…