Nyumba inapangishwa kijitonyama karibu na kanisani la KKKT

Tunzo

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
4,066
2,363
Nyumba ni ya Vyumba vitatu, Kimoja master, Jiko pia lipo.. maji yapo ya kutosha na tank kubwa za maji, maji mpaka ndani, uzio mzuri na parking ya kutosha bei ni 650,000 kwa mwezi, wasiliana nami kwa 0713415537, pia na kwa wale wa vyumba karibuni,
Nimeshindwa ku upload picha hapa nichek nikutumie kwa whatsap
 
Back
Top Bottom