Automatic change over switch for sale

Mkazuzu

JF-Expert Member
Apr 3, 2008
449
556
wadau ninauza automatic change over switch ya generator yenye dimensions zifuatazo
height:60cm,width:50cm,length:20cm
specification za umeme:
current:125A
voltage:220VAC~380VAC
contactor types;westhomes 3phases 4 poles
mains contactor delay timer;kwa ajili ya kuadjust delay time ya umeme wa TANESCO kuingia ndani
genset contactor delay timer;kwa ajili ya kuadjust delay time ya contactor ya generator kuingiza umeme ndani
phase failure protection:inaprotect dhidi ya under voltage na overvoltage ya TANESCO ambayo unaweza kuadjust values unazotaka
mechanical interlock;kwa ajili ya kuprotect contactor zisiweze kuwa activated kwa wakati mmoja ikiwa protection ya umeme itafail,hence double protection.
assembled in Tanzania

inauzwa kwa bei nafuu kabisa 1.5mil warranty offered.
pia change over za size tofauti za current kuanzia 20A-800A zinapatikana kwa order.
 
naweza kupata 20A automatic change over switch. Bei tafadhali.
 
Back
Top Bottom