Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.tuliinunua kwa matumizi ya familia baadae tukaona tuisajili kama daladala.lengo la kuuza ni kwamba tunahitaji kuagiza nissan civilian hvyo tumefikiria kuuza...
Habari wanabodi.
Kama inavyosomeka hapo juu anahitajika mtaalamu/daktari au consultation personnel anayefahamu kuhusiana na madawa ya mifugo.
Kuna kampuni ya dawa za mifugo ipo mbioni...
12 hectares are sold at Mapogoro, alongside the road of Ruaha National park. It is fenced with poles, tourist bandas are made inside. It is nice place for Campsite, any one with interest please...
Top 4 na base 2 pamoja na rec yake naiuza iko complete...sijautumia Sana na vifaa vyote vino ktk hali nzuri Sana..
Bei t
Yake ni million 7,fursa kwa wale wanaotaka na kujua biashara ya ukodishaji...
Habari ndugu msomaji. Kama unajua au unao kasuku na unawauza tafadhali tuwasiliane. Asante kwa ushirikiano wako.
Kwasasa nipo Dar na mahitaji yangu ni wawili
Wanaopenda kujenga mapinga vipo viwanja vi 4 vinauzwa vya ukubwa tofauti kuna vyenye sqm 1200 na sqm 825.......vyenye sqm 1200 vinauzwa m16. Na sqm 825 vinauzwa m14. vyote vipo kwenye hatua ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.