Bakery Inauzwa Dar TShs 10,859,500/= tu

geofreyngaga

JF-Expert Member
Sep 7, 2014
649
939
Vifaa vya bakery used vinauzwa almost vifaa vyôte vya bakery vimetimia
Oven Mikate 60 Kwa mara moja. 2,700,000/=
Iven mikate 225 linahitaji matengenezi. 2,200,000/=
Kisu cha kukatia slesi(bread slicer). 1,300,000/=
Mashine ya kukanda ngano ya italy(dough mixer 25kg). 3,000,000/=
Makôpo ya Mikate slesi200 na scons 200@5,800/= 2,360,000/=
Trei za kubebea Mikate 28@9,000/= 252,000/=
Shelvu za chuma2 (shelves)@250,000/= 500,000/=
Meza za mbao 2@90,000/= 180,000/=
Mzani wa dijito(digital scale). 20,000/=
Mashine ya kufungia Mikate. 20,000/=
Heater Kwa ajili ya kutengeneza sehemu ya kuumulia Mikate. 20,000/=
Jumla. 12,552,000/=

Maongezi yapo.
Option ya joint venture nimeachana nayo.
Pia nashukuru nilipata wateja wengi waliitaka kununua na wengine kushare biashara lkn imeshindikana, napenda kukaribisha wengine SERIOUS BUYERS ONLY
Kwa aliyetayar ni cheki 0652 494919
 
Attachments

  • IMG_20151227_132313.jpg
    IMG_20151227_132313.jpg
    101 KB · Views: 193
  • IMG_20150904_162855.jpg
    IMG_20150904_162855.jpg
    117.3 KB · Views: 164
Last edited:
Je mtu akitaka sehemu ya kuumulia mikate tu kwa elfu20 atapata, tufanye joint venture
 
so,unauza share ya bakery yako lakn sio vifaaa wala biashara?
je,umeshawahi kufanya biashara kwa muda gani??
vyombo vya bakery ulinunua wapi?
naomba utaje changa moto za biashara yako?
 
Hiyo oven mikate 60 ni deck ngapi na plate ngapi? Bakery iko wapi? Tunaweza fanya joint venture but kwangu am interested kwa keki za wholesales market na sio mikate kwa sasa
 
so,unauza share ya bakery yako lakn sio vifaaa wala biashara?
je,umeshawahi kufanya biashara kwa muda gani??
vyombo vya bakery ulinunua wapi?
naomba utaje changa moto za biashara yako?

Nikipata partner sawa na nikipata mnunuz wa vifaa vyote sawa. Mda mfupi sana.
Nimenunua dar, changamoto nilioiona ndani ya huo muda mfupi ni kupanda Kwa gharama za uzalishaji hasa ngano kwan wauzaji ni wawili tu azam na azania wakt bei za mikate ipo pale pale.
upande wa wateja inategemea, ukisambaza mwenyewe u make more money, au kuuza jumla kwny bakery wakikuzoea utapata wateja lkn pia inategemea na bidhaa zako zilivyp.
Kimsingi biashara IPO ukijipanga
 
Vifaa vya bakery used vinauzwa almost vifaa vyôte vya bakery vimetimia
Oven Mikate 60 Kwa mara moja. 2,700,000/=
Iven mikate 225 linahitaji matengenezi. 2,200,000/=
Kisu cha kukatia slesi(bread slicer). 1,300,000/=
Mashine ya kukanda ngano ya italy(dough mixer 25kg). 3,000,000/=
Makôpo ya Mikate slesi200 na scons 200@5,800/= 2,360,000/=
Trei za kubebea Mikate 28@9,000/= 252,000/=
Shelvu za chuma2 (shelves)@250,000/= 500,000/=
Meza za mbao 2@90,000/= 180,000/=
Mzani wa dijito(digital scale). 20,000/=
Mashine ya kufungia Mikate. 20,000/=
Heater Kwa ajili ya kutengeneza sehemu ya kuumulia Mikate. 20,000/=
Jumla. 12,552,000/=

Maongezi yapo.
Option ya joint venture nimeachana nayo.
Pia nashukuru nilipata wateja wengi waliitaka kununua na wengine kushare biashara lkn imeshindikana, napenda kukaribisha wengine SERIOUS BUYERS ONLY
Kwa aliyetayar ni cheki 0652 494919

Hi!
Vifaa bado vipo ila kuna mabadiliko kidogo
Sasa naviuza tu, option ya joint venture nimeachana nayo. Nashukuru nilipata watu wengi lkn wengi hawakua serious.
Bei nimejumlisha na oven kubwa linachima mikate 225 kwa wakt mmoja naliuza 2,200,000/= sbb linahitaji matengenezo
So Jumla kuu ya vifaa vyote ni 12,552,000/=
Karibuni 0652 494919
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom