Msaada: Mabunzi ya Mahindi

Msaada: Mabunzi ya Mahindi

paramawe

Senior Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
151
Reaction score
24
Habari!

Naomba wa msaada wa anaejua wapi naweza kupata au kuchongesha mashine kwa ajili ya kusaga mabunzi ya mahindi ili yatumike kwa chakula cha mifugo anijulishe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom