Wapi hukoIna tyles fresh rangi Safi ndani ya geti dakika tano Kutoka kituoni njoo na kodi miezi Sita na kodi ya mwezi ya udalali
Arusha,simiyu au Kagera mkuu?Ina tyles fresh rangi Safi ndani ya geti dakika tano Kutoka kituoni njoo na kodi miezi Sita na kodi ya mwezi ya udalali. Inapangishwa kwa 130000tsh
Mawasiliano piga 0689315582
Nimempigia kasema ni Makambako pale njia panda ya Songea na MbeyaWapi huko